Recent content by shee leo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wadada na wamama tu

    Usijaribu la sivyo utasogeza period yako mbele na ukija kuipata tena mpk aftr 3-5days,it will depend on how much u use..hlf itatoka nyingi sana kwa siku nyingi wewe tumia dawa moja inaitwa SHABU{ipo km chumvi ya mawe}unaloeka hlf unanawia ingawa huwa nasikia ukiitumia kwa muda mrefu bila kuduuu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuambiene ukweli...

    Wanawake wenzangu hata km mtanishambulia kwa hili ila lazima tuambizane ukweli HIVI HIYO HAKI SAWA TUNAYOPIGA NAYO KELELE KUNA SIKU ITAPATIKANA?kuna mambo tunajichosha nayo mwanaume ni mwanaume tu kwanza aliumbwa wa kwanza kabla yetu na Mungu akaona yu mpweke akatuumba sisi wanawake hvyo mpango...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaumme ni nini?

    Namchukia mwanaume asiyejua majukumu yake!!!huwa ananikera wa hvyo kila k2 mpaka aambiwe naomba hiki!nataka hiki vikorokoro kibao akumbushwe,mwanaume ni mwanaume tu hakuna cha haki sawa wanawake wanacheza mchezo ambao hawatakuja kushinda kamwe.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri January Makamba anatembelea Bajaj

    Maigzo tuuu,i dnt buy it
  5. S

    JamiiForums Tanzania Heehe!ticha kachemka

    Naweeee!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake msibomoe ndoa/nyumba zenu kwa style hii!

    asante sana.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake msibomoe ndoa/nyumba zenu kwa style hii!

    Jamani!jamani!jamani!tuoneeni huruma wanawake nyie wanaume kuzaa mtoto si mchezo wa mdako jamaniiii!sijui mungu afanyeje ili muujue uchungu wa kuchanika uke wakati wa kujifungua..imagine kichwa cha mtoto kilivyo kinazidi ngumi sasa kipite huko kunakooo..mmmhh!wanawake tunapata tabu tuhurumieni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Heehe!ticha kachemka

    Mbivu bwn.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Heehe!ticha kachemka

    Mwlm alikuwa anafundisha mada ya vitendawili,akamwambia juma tega kitendawili..JUMA:kitendawili?WANAFUNZI:tega.JUMA:nivue nguo nikupe utamu?MWALIMU:mshenzi sana nani kakufundisha vitendawili vya kihuni kama hvyo?JUMA:mwlmu kama hujui bora unyamaze tu,jibu la kitendawili hicho ni...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Limeshawahi kukutokea hili?

    Mim nakumbuka walipika wali nyama hapo kijiji kipindi hicho...basi mim nilikuwa kwa shangaz yngu baba na mama wakamwambia mdogo wangu nikija anipe chakula,sasa kumbe yy akaamua kula nyama yote na wali akabakisha mchuzi na ukoko...mimi narudi akaniambia hicho ndio nilichobakishiwa nilisikia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Usicheze na damu ya mtu! Kazi ya kuwapata wauaji wa Kamanda Barlow yawa rahisi kuliko ...........

    snowhite;pana chezeya kupanga mchakato kwa lesson plan ahahahhahahha watu tuna apply maazimio ya kazi mpka kwenye unyumba unafkiri utamu wake unakuwaje hapo Nin Lesson plan k2 TEACHING aid ndo somo hueleweka kaka
  12. S

    JamiiForums Tanzania women! I hate women!

    Bishanga;]Ebikazi bya mujini bilalu! Bibalalwile bita??chonka abahaya bomu nimumanya kujuma siii.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Nina ndugu yangu ngoja nikuuanganishie.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kupika pilau

    Tamuuu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Iam still looking for woman to make me a good husband

    i have those experiences and qualities u mentioned.
Back
Top Bottom