Natafuta mke wa kuoa

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,983
6,237
Salam mi mwanaume, miaka 35, natafuta mke, awe mkristu, angalau ellimu ya kidato cha 6 na kuendelea, awe mnene, kwa sasa najishughulisha na biashara
 
Salam mi mwanaume, miaka 35, natafuta mke, awe mkristu, angalau ellimu ya kidato cha 6 na kuendelea, awe mnene, kwa sasa najishughulisha na biashara

sio mahali pake hapa mkuu kama vipi nenda mahusiano ila labda umuulize HCL atakusaidia
 
hadi hapo unaonekana umeshachanganyikiwa, hujielewi hata unachokifanya. wanawake wanapenda mwanaume anayejiamini, mwenye uwezo wa kumuapproach na kumtongoza sio mwanaume anayejinadi mtandaoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom