Kwa wadada na wamama tu

Bwana weeh, ushabiki maandazi si nikanunua fem fresh (that feminine wash gel). Baada ya wiki najisikia kama nimekatwa na viwembe. Kidogo nimshike uchawi Paw. Nikajipeleka hospital kwa mambo mengine lakini nikamuambia dr naomba unipime stds. Akaniuliza why, kumuelezea akaniambia wala sikupimi, acha hiyo sabuni. Uzuri consultation ya Roulette na Riwa nyuma ya pazia ikanisaidia pia. Sikuamini, nimekomaje?

.hahahahahaha pole my dear, usirudie tena hayo madude, kegel inatosha.......
 
Last edited by a moderator:
nawashukuru wadau wote kwa michango yenu. je hilo zoezi linatakiwa kufanyika kila baada ya muda gani? let say asubuhi, mchana au jioni? pia ni kwa kipindi gani labda wiki kadhaa, mwezi ama miezi kadhaa? pia nimesikia kuna dawa (sina uhakika ni dawa,sabuni au lotion) toka ORIFLAME inasaidia kutight je ni kweli inasaidia? kuna mtu alishawahi kuitumia?

....achana na maoriflame hayo.....

Mambo yote kegel......

Ukishazoea unafanya wakati wowote popote, hata ukiwa ofisini........
 
Ngoja nisepe zangu, manake hii ni kwa akina Mama tu. :car:
Ila chonde Msije mkaweka tu pilipili huko na sisi tukadhurika ndimi na nanihii zetu.
 
Inaelekea unapenda njia za shortcut. hakuna dawa. Solution ni kegel. Uzuri wake unaweza ukafanya muda wote, sehemu yoyote. Anza mara 3 kwa siku kwa dakika 5, halafu ongeza muda ukijisikia zaidi. Maumbile hutofautiana, ukitaka kujua kama imekuwa tight zaidi itabidi uitest halafu uamue kuongeza ama kupunguza mazoezi.

asantee kwa ushauri ndugu yangu.
 
nawashukuru wote kwa michango yenu na ushauri. Nitajitahidi kuifanyia kazi. usiku mwema
 
jamani zasa kitu kikiwa mnato sana sii mtaibana dushelele? mie napenda iwe lebwe lebwe mimaji hiooo kila ukidumbukiza kitu
 
Oriflame wana feminine tissues. Ndo hayo hayo ya fem fresh, zinanukia vizuri lakini kama una sensitive skin utajiponza. Fanya kegel tu. Mie nafanya kegel kila wakati wa haja ndogo, na nikiwa bored. Actually when im bored na natamani kugombana na mtu anaeongea crappy stuff, nafanya kegel..
nawashukuru wadau wote kwa michango yenu. je hilo zoezi linatakiwa kufanyika kila baada ya muda gani? let say asubuhi, mchana au jioni? pia ni kwa kipindi gani labda wiki kadhaa, mwezi ama miezi kadhaa? pia nimesikia kuna dawa (sina uhakika ni dawa,sabuni au lotion) toka ORIFLAME inasaidia kutight je ni kweli inasaidia? kuna mtu alishawahi kuitumia?
 
salamu zetu....
huwa nasikia kuwa ukinawia limao ukeni, uke unakuwa tight je ni kweli?? kama sio kweli ni nini kinaweza kuufanya uke kuwa tight??? mie tayari nina watoto nahisi maumbile yangu sio tight sana. msaada tafadhali.
gfsonwin, snowhite, Ciello na wadada au wamama wa MMU. natanguliza shukrani.

Usijaribu la sivyo utasogeza period yako mbele na ukija kuipata tena mpk aftr 3-5days,it will depend on how much u use..hlf itatoka nyingi sana kwa siku nyingi wewe tumia dawa moja inaitwa SHABU{ipo km chumvi ya mawe}unaloeka hlf unanawia ingawa huwa nasikia ukiitumia kwa muda mrefu bila kuduuu waweza kurudisha bikra.
 
Last edited by a moderator:
kuna mdada tulisoma nae alikua ameolewa ila chuo alikua na kidumu,akikaribia kwenda kwa mumewe anakamulia limao kwenye maji zen ananawa,akienda kwa mumewe hagundui kama alichakachuliwa.
 
kuna mdada tulisoma nae alikua ameolewa ila chuo alikua na kidumu,akikaribia kwenda kwa mumewe anakamulia limao kwenye maji zen ananawa,akienda kwa mumewe hagundui kama alichakachuliwa.

kumbe ndio wanalofanyaga huko mavyuoni wakienda kusomaa!...dawa yao moja tuu mke akililia kwenda kusoma na ndoa imekwisha. au tunapeana separation.
 
kumbe ndio wanalofanyaga huko mavyuoni wakienda kusomaa!...dawa yao moja tuu mke akililia kwenda kusoma na ndoa imekwisha. au tunapeana separation.

habari ndo hiyo! pete zawekwa kabatini zinavaliwa siku ya kuondoka,ila sio wote usiogope.
 
habari ndo hiyo! pete zawekwa kabatini zinavaliwa siku ya kuondoka,ila sio wote usiogope.

mhm...mie huyu, sijui long distance relationship au mke wangu kufanya kazi mji tofauti na mie au kwenda kusoma haitakubalika period. kama kupitiwa mbavuni nipitiwe hapa hapa nitajua tuu. tena fasta.
 
mhm...mie huyu, sijui long distance relationship au mke wangu kufanya kazi mji tofauti na mie au kwenda kusoma haitakubalika period. kama kupitiwa mbavuni nipitiwe hapa hapa nitajua tuu. tena fasta.

siku ukikamatika utaona kawaida tu,hadi nauli utamlipia mwenyewe!
 
Back
Top Bottom