Naomba msaada jinsi ya kupika pilau | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada jinsi ya kupika pilau

Discussion in 'JF Chef' started by Viol, Sep 20, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Jamani mnisaidie kunielekeza ingawa najua ni kupika pilau ni process ndefu.
  Jinsi ya kuchanganyia viungo(spices) na ni viungo gani mhimu.
  Thanks!
   
 2. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Ntarudi pilau likiiva! ila usisahau abdala sini..
   
 3. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  vip bado tuu??
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  teh teh teh ndo kiungo nini
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  bado maji ndo yanachemka
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Rice Pilau
  [​IMG]
  Ingredients (6 servings)
  1 pound goat, mutton or beef cubes
  4 garlic cloves
  Salt
  9 cardamom pods
  4 tbsp vegetable oil
  1 large onion, chopped
  3 cups rice
  10 whole black peppercorns
  8 whole cloves
  8 cinnamon sticks
  1 tsp ground ginger
  ¼ cup cumin seed powder
  4 small tomatoes
  6 cups water

  Preparation

  • Boil the meat in salted water until tender.
  • Crush the garlic and cardamom together with 2tbsp water using a mortar and pestle.
  • Sautee the onion until it is golden brown.
  • Add the rice, meat, garlic and cardamom mixture, peppercorns, cloves, cinnamon, ginger and cumin seed powder.
  • Cook covered over medium heat until all are nicely brown, about 10 minutes.
  • Add the tomatoes.
  • Cook and stir until the tomatoes are thoroughly cooked down to the consistency of a sauce.
  • Add the 6 cups water to the rice mixture, bring to a boil and then cook over very low heat, (while covered) for another 15-20 minutes, until all water is absorbed and the rice is cooked through.
  • Serve with Kachumbari.
  Enjoy!!
  (http://www.mwakenya.net/apps/blog/show/4907494-how-to-make-pilau-kenyan-recipe-coast-)
   
 7. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Nijuavyo Mimi pilau ina dizain nyingi za kupika hii ni kadri mtu apendavyo leo anataka pilau hii, au ile. tehetehe.

  Sasa pilau yangu mimi kwa leo ni hii.

  MAHITAJI:
  - Mchele kg 1
  - Nyama ya ngombe/Kuku 3/4 kg.
  - vitunguu maji vikubwa 2.
  - nyanya moja au mbili za wastani.
  - ndimu/limao 1
  - Unga wa pilau uliochanganywa vijiko vya chakula 2
  - Jiira (binzari nyembamba) iliyosagwa vijiko vya chai 2
  - Jiira nzima ambayo haijasagwa vijiko vya chai 2
  - Pilipili manga nzima kijiko cha chakula 1 (au punje 15)
  - Tangawizi iliyotwangwa kijiko cha chai 1/2 (ukipenda)
  - vitunguu thomu (swaum)vilivyosagwa vijiko vya chakula ujazo wa wastani 3.
  - chumvi (utaonja inayotosha)
  - mafuta ya kupikia

  JINSI YA KUANDAA.
  - safisha nyama, kisha katakata vipande vya wastani, changanya na vitunguu swaumu kijiko kimoja, ndimu kipande, chunvi ya kutosha, tangawizi 1/2 kijiko cha chai na kisha weka jikoni. ikianza kushemka igeuzegeuze ili viungo vichanganyane vizuri (kama dk 5-7) kisha weka maji yafunike hiyo nyama acha ichemke kwa dk kama 10 - 15 (itategemea ni nyama ya aina gani na laini kiasi gani) mie napendelea ya ngombe au kuku wa kienyeji. hakikisha unapika kwa moto usio mkali sana na supu isikauke maana ndio utakayotumia pia kupikia pilau yako.

  - Baada ya nyama kuwa tayari weka pembeni, injika sufuria ya kupikia pilau yako.
  - weka mafuta ya kupikia 1/2 glass (au waweza kadria yanayotosha)
  - menya, kata, na weka vitunguu maji kwenye mafuta yaliyopata moto kaanga kwa muda kidogo mpaka vilegee
  - weka nyama (bila) supu kaanga mpaka nyama ianze kubadilika rangi kuwa ya brown kwa mbali,
  - weka vitunguu thomu kaanga (mchanganyiko wako utaanza kuwa wa brown) hakikisha usiunguze
  - weka jiira iliyonzima pamoja na iliyosagwa, pamoja na pilipili manga. kaanga kidogo vichanganyike vizuri
  - weka unga wa pilau na kaanga ilivitu vyote vichanganyike vizuri na usiunguze (kama vyang'angania kwenye sufuria oneza supu ya nyama kidogo) kisha kamua ndimu kipande kiasi cha kupata kijiko kimoja cha chakula weka pamoja na nyanya endelea kukaanga vichanganyike vizuri.
  - weka chunvi kiasi koroga vichanganyike vizuri
  - weka mchele uliousafisha na kuuosha (angalizo mchele usiuoshe mapema sana maana utalainika - osha wakati unaanza kukaanga michanganyiko yako ya pilau.
  - changanya vizuri mchele wako na viungo ulivyokaanga kisha weka supu uliyopikia nyama (badala ya maji) angalia usawa wa mchele na supu isiwe nyingi sana kiasi cha kufanya mchele uwe boko au ndogo kiasi cha kufanya uwe mbichi tegemea na aina ya mchele.

  - ikianza kuchemka, punguza moto iive katika moto mdogo
  - ikianza kukauka geuza funika kama dk 7 kisha geuza tena acha iive taratibu baada kama dk 20 iiangalie kama tayari ipua tayari kwa kuliwa na sosi, saladi uliyoiandaa.
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Thanks much Roullete
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Rubi thanks much
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  pilau la kinyumbani :

  1. Mchele
  2. Nyama
  3. Swaumu
  4. Njegere mbichi
  5. Viazi vibichi
  6. Viungo vya pilau

  chemsha nyama hadi iive, hakikisha kunabaki na supu ya kutosha kupikia wali.

  Osha mchele wako.

  Tia mafuta kiduchu kwenye sufuria, tia viazi, acha muda mfupi, tia kitunguu swaumu koroga, tia viungo vya pilau, koroga weka mchele koroga mpaka uchanganyike vyema.

  Weka supu uliyobakiza, tia chumvi koroka kichanganya chumvi weka njegere mbichi na nyama funika.......

  Palilia

  pakua.....

  Jiandae kujiramba vidole
   
 11. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hapo upate na kachumbari.. Af juice yako ya matunda mixer..unawe mikono af ukae mkekani na mahabuba au family..siongeagi ad nimalize..
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Thanks,hii njia yako ipo simple zaidi
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  je kama sina mahabuba nifanyaje?
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  BADILI TABIA hili lako limeiva upesi lol......hutaki tabu mtoto wa watu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. G

  GOSPEL New Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba unielekeze jinsi ya kupika ndizi nyama mana sijaweze jinsi ya kuzipika hadi zinivutie zikiwa na nyama bila kusahau mboga2.
   
 16. s

  shee leo Senior Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tamuuu
   
 17. WEBUSER2

  WEBUSER2 Member

  #17
  Aug 2, 2013
  Joined: May 5, 2013
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 18. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2013
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mi langu huwa naweka na nazi
  mahitaji\
  nazi,mchele,viungo vya kuandaa mwenyewe like mdalasini uwe yale magome,huoiki ziwe bado kwenye ganda lake,nk
  vitunguu vikubwa viwili,navikata kwa urefu vipande vikubwa vikubwa
  vitunguu swaumu
  nyanya
  nazi 2
  nyama/kuku/samaki/kondoo/
  maji
  mafuta
  chumvi(pilau ikipungua chumvi ni majanga)

  process ni kama za hapo juu walizosema wadau wengine
  but mimi kabla ya kukaanga viungo nachemsha tui thn naengua lile zito la juu kabla halijakatika na kulitenga pembeni
  nikishakaanga viungo naweka tui la nazi thn likichemka tena ndo naweka mchele
  kabla ya kupalia naweka lile tui zito la juu(nililoengua kabla)
  nanyunyiza juu thn napalia makaa
  kisha off i go kuandaa salad
  NDO TAYARI hivoo!
  hili raha yake ulile mchana!LOL!
  cc Kaunga
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2013
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
 20. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2013
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wee Kaolee Zanzibar au Mombasa, PILAU SWAAAFI.
   
Loading...