We koma........hayakuhusu........fuata yako
By the way pole kwa kutendwa
Kaka wanawake ni pasua kichwa hata SL ananiumiza kichwa
Tobaaaaaaaa! Yamekuwa haya tena?
Shemeji yako analia na wanawake, mbona nimefika nyumbani sijakukuta ulienda wapi?
pole bepari, stick kwa The secretary wako anakutosha! lol
Hata The secretary wenu huyo naye anataka kuntia konkasheni kwa manyanyaso yake.