Recent content by serggally

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Semi La Bia Lapata Ajali Ruaha

    Ungeweka picha ingekuwa safi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mnawakumbuka Sunday Shomari na Monica Mfumia?

    Kweli nakumbuka tangazo la revola. Tamthilia ya barbarita. Egol place of gold. Yule aliyekua mtangazaji wa watoto aliyekua na ndoto ya kua rubani nadhan ni eddy sultan na mambo mengi. Kweli ITV wakongwe wa habar TZ Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  3. S

    JamiiForums Tanzania FLIGHT 370: Kupatikana kwa ndege ya abiria ya shirika la Malaysia - Inawezekana?

    Mkuu nimekupata vizuri. Na mm mfuatiliaji mzur wa hiyo ndege ya ajabu. Nakuomba uendelee kutupa vitu adimu Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  4. S

    JamiiForums Tanzania jaman nipo serious i need a man 28 to 30 ma self nipo 25

    Nipo serious pia hebu ni pm tuone namna ya kuyajenga Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huuu.... Wanawake wengi mtajikuta 35yr's... Bado mko searching...?!

    Wakifikisha miaka zaidi ya 33 wataolewa na wanaume waliofiwa wake au wanakua nyumba ndogo Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

    Inauma kumpoteza mtu muhimu ambaye alikua haumwi bali amekatishwa uhai wake kwa kuuawa na wasiomtakia mema yeye na familia yake na taifa kwa ujumla. RIP brother Dr E. Mvungi Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

    R.I.P L.T Mlima Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma shule za msingi Iringa mjini miaka 90

    Mimi nilisoma kichangani enzi za mwlm mlelwa, sister vero, mwlm kassim, mama komba,mwlm mpako Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi : Latest jobs in Tanzania today

    Asante kwa taarifa nzuri
Back
Top Bottom