Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

Pro. Lipumba ndio anatoa salamu za rambirarambi na taarifa nilizonazo atafuatiwa na Kamanda Mbowe alafu nimeshindwa kuelewa hii protocall kuwa Mwigulu na yeye amepewa nafasi ya kutoa salamu za rambirambi, Watu wametulia huzuni imetawala
 
Ajabu waliomuua wako pia kwenye hilo hema, na wengine wanaangalia kupitia ITV.
 
kuwa makini ucje ukaishia kunyea debe uko verified user watakuja kukutafuta we fanya masihara na masuala nyeti

Acha kutisha watu! kama hupendi ondoka, MOTTO OF JF IS WHERE WE DARE TO TALK OPENLY
 
Inauma kumpoteza mtu muhimu ambaye alikua haumwi bali amekatishwa uhai wake kwa kuuawa na wasiomtakia mema yeye na familia yake na taifa kwa ujumla. RIP brother Dr E. Mvungi



Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kamanda Mbowe Ndio anazungumza sasa. Anatusii tuendeleze ujasiri na uthubutu aliokuwa nao Dr. Mvundi. Huzuni ni kubwa sana.
 
Wanajamvi

Prof, Akitoa salamu za rambimbi katika shuhughuli za kuaga Mwili wa Marehemu Dk. Sengondo Mvungi.

Amekiri kumfahamu 1995 wakati walikuwa wanataka kufungua kesi kupinga uchakachuaji wa kura mwaka huo na kuendelea.

Mwaka 1995 walishindwa kuendelea na kesi kwa kuwa Mwenzao Lamwai aliingia mitini.

Amekiri kuwa wao ni Marais waliochakachuliwa kura zao.

Naomba kuwasilisha
 
mwigulu muhusika wa mauaji anaongea hiyo skafu amevaa ya nn huko
 
Mwigulu Nchemba: "...nalaani tukio la aina hii la kuondoa uhai kwa watu wasio na hatia."
 
eti mwigulu analaaani kuuawa kwa mvungi ilhali nafsi inamsuta mabomu ndo aliyeyaripua yeye
 
Back
Top Bottom