iryn matiku
New Member
- Oct 26, 2013
- 3
- 0
rip lt. mlima
just like everybody else, na kwa taarifa yako mtu kama yeye ndo anakua priority target, commando ambaye ni officer, ni high value target in battlefield
Mbona komando John hakufa?
We kweli mzaramo........eti anaekufa vitani na anaerudi akiwa mzima nani anaestahili kuitwa shujaa?
Mbona komando John hakufa?
Mwili wa marehemu LT.RA MLIMA utawasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa DAR leo jioni 1925hrs kwa ndege ya KQ 486.Mwili wa kijana wetu shujaa utapokewa kwa heshima zote kijeshi.Ikumbukwe marehemu alifariki akiwa mission ya UN alias MONUSCO tarehe 27 oct.Shujaa Mlima alikua commando aliyesomeshwa u-commando nje ya nchi na vile vile alikua mkufunzi wa makomandoo pale 92KJ.
Nchi imepoteza rasilimali muhimu na ya gharama sana katika masuala ya Ulinzi na Usalama.Marehemu alifariki papo hapo baada ya kupigwa risasi na sniper.
Vijana aliokua nao walijibu shambulizi hilo kwa nguvu kubwa na kufanikiwa kuondoka na marehemu (evacuation) na kuelekea kwenye ngome kwa usalama zaidi.mapambano yalikua makali lakini vijana walipigana kishujaa kwa covering fire huku wakihakikisha hakuna majeruhi mwingine.
Marehemu ataagwa kesho Lugalo saa nne asubuhi, sala ya kumuombea marehemu itafanyika msikiti wa Mamulu Upanga, baada ya hapo, marehemu atazikwa makaburi ya Kisutu.
RIP, SHUJAA.UMEKUFA UKISAIDIA JIRANI YAKO AISHI KWA AMANI. U DIED WAVING TANZANIAN FLAG UP HIGH, SACRIFICING YOUR LIFE FOR OTHERS! THATS OUR JOB.RIP COMMANDO MLIMA.
Alikua rafiki, kaka, na ndugu
Nilimjua personally and professionally, na hapa kijiweni kwetu tulipokua tunakaa pamoja hasa mida ya jioni na siku za weekend bado hatuamini kama Mlima is never coming back.
R.I.P Brother!
Akisikia commando akili zote zinahamia Hollywood.
Akisikia commando akili zote zinahamia Hollywood.
Thanks Lt Mlima for your sacrifice to the nation and african course. Unlike the m23 soldiers who fight for ethnic hegmony Tanzanian soldiers fight for peace and true liberation of mankind. R.I.P comrade.
unajua sniper ni nani? au unabwabwaja tu,,, unajua sniper shot? hii nchi haina commando feki toa mawazo yako mgando, na huyu kijana alisomea u-commando nje ya nchi.sniper aliyebobea hakosi target, uwe commando hata uwe nani, its one shot one kill