Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Kampuni gani usije kua banana
Mkuu kuwa kiguu na njia, zali kama hilo litakuangukia tuHizi zali za bia utokea Mara kwa mara. Kwanini zali za bangi hazitokeagi
kuna la viroba lilianguka mpkani mwa wilaya ya hai na siha mbele kidogo ya machinjio ya wilaya ya hai ilikuwa ni balaa tupuNimekumbuka 2009 kuna ambalo lilianguka barabara ya moshi-arusha nusu ya bia zote chupa zilipasuka
Haramu!! Unajua gharama ya kuendesha depot ya bia wewe? Au unadhani ni carton za yeboyebo eee? Hapo imeanguka kama milioni 50+ hivi au 60+, watu wanajipatia kipato kwa ajili ya bia na wanalipa kodi.sababu ni biashara haramu bora hata limeanguka
lingekuwa semi limeanguka lililobeba mbwa wengi najaribu kuwaza siju kungetokea nini?

Zuli za Bange huwa zinatokea. Mimi na mchizi wangu mudy tulishawahi kuokota kiroba kimejaa Bange.Hizi zali za bia utokea Mara kwa mara. Kwanini zali za bangi hazitokeagi
Tulia wewee mwanajeshi uchwara wa ngerengere.Haramu!! Unajua gharama ya kuendesha depot ya bia wewe? Au unadhani ni carton za yeboyebo eee? Hapo imeanguka kama milioni 50+ hivi au 60+, watu wanajipatia kipato kwa ajili ya bia na wanalipa kodi.