FLIGHT 370: Kupatikana kwa ndege ya abiria ya shirika la Malaysia - Inawezekana?

Liganga uchambuzi wako muafaka, nina wasiwasi mchezo mchafu umefanyika hapa maana kuna patent right ya kifaa ambapo wenye hiyo haki wanne wamo kwenye hiyo ndege amebaki Rothschild pekee hivyo kutamfanya kuwa na patent right ya 100% peke yake.
 
Mkuu achana na Faiza.Kichwa naamini ulikosea kidogo tu lakn Ujumbe na maudhui umeeleweka sana.Nasikia watu wako salama na wanaplan kuharibu ndege na kutupa majini kuudanganya umma kwamba ndege ilicrush. Laknk ndege haijacrush!!! Nachoweza kusema CIA wanajua wanachofanya. This will be revealed soon for those who have senses to sense.

Wewe kweli aminiusiamini. Unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa its either black or white no gray shades.

Watanzania hatuendelei kwa kuoneana haya na kulindana hata tunapoona makosa.

Kama kakosea abadilishe lichwa cha habari, ili tuamini ilikuwa ni makosa ya uandishi na si uongo wa kusadikika.
 
Ukweli ni kuwa ndege haikupatikana. Na kututamanisha kwa kuanza na maneno "kupatikana kwa ndege..." Ni uongo dhahir shahir.

Ni punguani tu ataekataa hilo.

Kama kilichokosewa ni kichwa cha habari tu kwanini uiponde taarifa nzima? Kwani ungesema kichwa cha habari kimekosewa usingeeleweka? Kauli yako inakatisha tamaa. Hivi lengo la mleta mada lilikuwa ni kutudanganya au kutupa upande wa pili wa hili tukio? Atudanganye kwa manufaa yapi atakayoyapata? Huwa nakuheshimu sana Faiza Foxy ila katika hili hapana hujatumia busara, sijui nijifunze nini kutoka kwako.
 
Kama kilichokosewa ni kichwa cha habari tu kwanini uiponde taarifa nzima? Kwani ungesema kichwa cha habari kimekosewa usingeeleweka? Kauli yako inakatisha tamaa. Hivi lengo la mleta mada lilikuwa ni kutudanganya au kutupa upande wa pili wa hili tukio? Atudanganye kwa manufaa yapi atakayoyapata? Huwa nakuheshimu sana Faiza Foxy ila katika hili hapana hujatumia busara, sijui nijifunze nini kutoka kwako.

Nyie ndio wale wale. Ni wapi nilipoiponda taarifa nzima? Kusoma hamuelewi basi hata picha hamuoni?

Wacha uongo.
 
Wanabodi,

Kwa vile mimi ni muumini wa "powers from within!, tukio la hii ndege kupotea na mpaka sasa hakuna taarifa yoyote, kunanifanya mimi ndio kwanza nzidi kuchanganyikiwa kabisa!, sio kwa sababu ni ndugu au jamaa ndani ya ndege hiyo!, no!, Ni kwa sababu tuliwaaminia sana watu wa Bara la Asia ndio wengi wenye dini za Hindu na Buddhism wanaojitapa na kutamba na psychic powers za kufanya kila kitu!Apportation - wangeweza kuivuta hiyo ndge popte ilipo na kuona!
Aura reading - Wangeweza kuziona hizo aura za waliokuwa abiria!
Astral projection or mental projection - wangeweza kutoka katika miili hii hivyo kuiona ilipo within a split of a second!
Bilocation or multilocation - wangeweza kuisaka mahali kokote kwa wakati mmoja!
Clairaudience - Wangeweza kuwasiliana na wahanga kuwa trace walipo!
Clairvoyance, second sight - wangeweza kuwaangalia kupitia "third eye!" na kuwaona walipo!.
Death-warning - Wangeweza kutoa taarifa kama walipata death warning kabla!.
Divination - wangeweza kutumia njia hii kuiona ndege ilipo!,
Dowsing - wangeweza kutumia njia hii kuifikia hiyo ndege!.
Mediumship or channeling – wangeweza kuwatumia hap mediums kuzungumza na hao abiria!
Precognition, premonition and precognitive dreams - Kama ni ajali, wangezeza kutoa taarifa kuwa waliiona kabla!.
Psychometry or psychoscopy - wangeweza kuitumia njia hii kupata taarifa za waliomo ndani ya ndege!,
Remote viewing - wangeweza kutumia njia hii kuiona ndege ilipo!.
Scrying - wangeweza kupiga ramli kuiona iko wapi au kuijua imepatwa na nini!
Telepathy - wangeweza kuwasiliana na waliomo ndani kuwaeleza nini kimewakuta!
Wanabodi hizo zote ni works of powers za psychic!, kama zimeshindwa kufanya kazi, hii inamaa kuna uwezekano hata hizi powers za pschic ni uongo?!.

You can never know!.

Nimechanganyikiwa!.

Pasco.


 
Mkuu nimekupata vizuri. Na mm mfuatiliaji mzur wa hiyo ndege ya ajabu. Nakuomba uendelee kutupa vitu adimu



Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nashukuru FaizaFoxy kwa maoni juu ya kichwa cha andiko hili na hasa Moderator kwa kuchukua hatua.

Kwa wasomaji waliokwazwa kwa namna yoyote niwieni radhi. Kuna mitindo mingi ya uandishi wa habari, makala na vitabu. Nahamini wengi wenu mmepata kusoma fasihi au lugha katika ngazi mbalimbali. Haikuwa kusudio kuleta upotoshaji wa aina yoyote bali dhima kuu iliyokwenye andishi ni kuchokoza akili na kupata mitazamo mingine wakati tukiendelea kutafakari yaliyojili kwa ndege ile na abiria wake.

Nashukuru sana kwa kunielewa. Maana nilipoona kicha cha habari nilipatwa na faraja na hamasa ya kuisoma hii "habari". Nikakuta kuwa ni analysis (uchambuzi) nzuri sana lakini nikawa dissapointed kutokuona habari ya kupatikana kwa ndege.

Naendelea kushauri umuombe moderator abadili neno "kupatikana" na kuliweka "kutopatikana" italeta maana njema zaidi kuwa ni uchambuzi uliotukuka na si "news" (habari)kama kichwa kinavyoashiria.

Ahsante.
 
Last edited by a moderator:

AHSANTE MWANDISHI KWA ANALYSIS NZURI NIMEVUTIWA SANA HASA POINT NUMBER 4

hii imenikumbusha ile ndege ya Misri Egypt Air 990 ambayo ilisemekana pilot aliiangusha ndege kwa makusudi ingawa ndani ya ndege kulikuwa na wanajeshi 30 wote wanajeshi wakiwa wametoka kwenye mafunzo marekani bonyeza link Egypt Air 990 - More Questions And 'Coincidences'

[SIZE=+1]"On October 31st 1999, Egypt Air Flight 990 bound for Cairo mysteriously, plunged into the Atlantic Ocean, about 60 miles south of the island of Nantucket,Massachusetts, killing all 217 people aboard.[/SIZE] [SIZE=+1]The Boeing 767-300ER exploded at 11,000 feet after 40 minutes of its take-off from Kennedy International Airport in New York. Controversy surrounds the crash to this day, but here is an interesting "series of events or "coincidences, according to crash investigators:[/SIZE] [SIZE=+1]1[/SIZE][SIZE=+1]. There were 34 generals of different ranks from the Egyptian Armed Forces on board the plane. Among them was a general who has a Doctorate in atomic sciences, and more than 20 pilots who successfully completed training in operating Apache helicopters that had been recently sold to Egypt. Also on board were other generals who successfully completed training in launching the famous American Patriot missiles. The training of all those generals lasted 3 years and cost Egypt $3 billion, which Egypt paid in full.[/SIZE]
[SIZE=+1]2[/SIZE][SIZE=+1]. Israel had vehemently denounced the training program of those generals upon their arrival in the US 3 years before, calling the training program "a threat to Israel,s security.[/SIZE]

jambo la nne na ambalo halijapewa kipaumbele na media nyingin hasa TV, ni kuwa katika ndege ile kulikuwa na abiria wasio wa kawaida, abiria hawa wa kipekee ni wahandisi 20, 12 kutoka taifa la Malaysia na 8 kutoka uchina. Hawa ni wataalam wa juu sana wa maswala yanayohusiana na nishati mbadala pamoja na teknolojia inayohusu mambo ya kiusalama. Wataalam hawa wanafanya kazi kule Austin, Texas kwenye kampuni inayoitwa Freescale.
Bonyeza Loss of employees on Malaysia flight a blow, U.S. chipmaker says | Reuters
Utaona kwa hapo neno usalama (defense) alijitokezi lakini ni kwa sababu mahususi, maswala ya usalama huwa hayawekwi wazi. Inawezekana kuna suala la ugunduzi mpya wa teknolojia ya usalama na yenye maslai makubwa walikuwanao. Kwa wenye kumbukumbu nzuri mwaka 1985 kuna wanataalam 17 wakijapan nao walikufa baada ya ndege yao kuanguka, jamaa hawa walikuwa na ugunduzi wa mfumo mpya wa kuendesha kompyuta (OS) uliokuwa mahiri zaidi ya ule wa Microsoft. Kawaida ugunduzi usajiliwa na muhusika kupata hatimiliki inayoitwa PATENT, asilimia zaidi ya 90% ya patent usajiliwa marekani au zinamilikiwa marekani. Ningeshauri wasomaji mfanye utafiti zaidi hapa, kunawezakuwa na mengi kwenye hili jambo

Nadhani tunaweza tusije jua ukweli kwani njia rahisi ya kumaliza watu ni kwa njia ya ajali ya ndege hata marais wa Rwanda na Burundi na magenerali wao mwaka 1994 ilioleta Rwanda Genocide waliuawa kwa njia hii, Samora Masheli
alimalizwa kwa njia hii na wengine wengi

bonyeza link ya assasination ya samora machel
Was Samora Machel assassinated by a conspiracy? - YouTube
 
Theory zimekuwa nyingi, sasa nangoja theory ya "aliens" na UFO zao kuhusika.

[h=2]Six Important Facts You’re Not Being Told About Lost Malaysia Airlines Flight 370[/h]
There are some astonishing things you’re not being told about Malaysia Airlines Flight 370, the flight that simply vanished over the Gulf of Thailand with 239 people on board.
The mystery of the flight’s sudden and complete disappearance has even the world’s top air safety authorities baffled. “Air-safety and antiterror authorities on two continents appeared equally stumped about what direction the probe should take,” reports the Wall Street Journal.

WSJ goes on to report:
“For now, it seems simply inexplicable,” said Paul Hayes, director of safety and insurance at Ascend Worldwide, a British advisory and aviation data firm.

While investigators are baffled, the mainstream media isn’t telling you the whole story, either. So I’ve assembled this collection of facts that should raise serious questions in the minds of anyone following this situation.

• Fact #1: All Boeing 777 commercial jets are equipped with black box recorders that can survive any on-board explosion
No explosion from the plane itself can destroy the black box recorders. They are bomb-proof structures that hold digital recordings of cockpit conversations as well as detailed flight data and control surface data.

• Fact #2: All black box recorders transmit locator signals for at least 30 days after falling into the ocean
Yet the black box from this particular incident hasn’t been detected at all. That’s why investigators are having such trouble finding it. Normally, they only need to “home in” on the black box transmitter signal. But in this case, the absence of a signal means the black box itself — an object designed to survive powerful explosions — has either vanished, malfunctioned or been obliterated by some powerful force beyond the worst fears of aircraft design engineers.

• Fact #3: Many parts of destroyed aircraft are naturally bouyant and will float in water
In past cases of aircraft destroyed over the ocean or crashing into the ocean, debris has always been spotted floating on the surface of the water. That’s because — as you may recall from the safety briefing you’ve learned to ignore — “your seat cushion may be used as a flotation device.”
Yes, seat cushions float. So do many other non-metallic aircraft parts. If Flight 370 was brought down by an explosion of some sort, there would be massive debris floating on the ocean, and that debris would not be difficult to spot. The fact that it has not yet been spotted only adds to the mystery of how Flight 370 appears to have literally vanished from the face of the Earth.

• Fact #4: If a missile destroyed Flight 370, the missile would have left a radar signature
One theory currently circulating on the ‘net is that a missile brought down the airliner, somehow blasting the aircraft and all its contents to “smithereens” — which means very tiny pieces of matter that are undetectable as debris.
The problem with this theory is that there exists no known ground-to-air or air-to-air missile with such a capability. All known missiles generate tremendous debris when they explode on target. Both the missile and the debris produce very large radar signatures which would be easily visible to both military vessels and air traffic authorities.

• Fact #5: The location of the aircraft when it vanished is not a mystery
Air traffic controllers have full details of almost exactly where the aircraft was at the moment it vanished. They know the location, elevation and airspeed — three pieces of information which can readily be used to estimate the likely location of debris.
Remember: air safety investigators are not stupid people. They’ve seen mid-air explosions before, and they know how debris falls. There is already a substantial data set of airline explosions and crashes from which investigators can make well-educated guesses about where debris should be found. And yet, even armed with all this experience and information, they remain totally baffled on what happened to Flight 370.

• Fact #6: If Flight 370 was hijacked, it would not have vanished from radar
Hijacking an airplane does not cause it to simply vanish from radar. Even if transponders are disabled on the aircraft, ground radar can still readily track the location of the aircraft using so-called “passive” radar (classic ground-based radar systems that emit a signal and monitor its reflection).
Thus, the theory that the flight was hijacked makes no sense whatsoever. When planes are hijacked, they do not magically vanish from radar.
 
Serikali ya Malaysia ilibidi iite waganga wa kienyeji altenatively known as Wachawi-wakashindwa.

Bado kuna safari ndefu sana kuipata ndege husika.


CC: Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Kwa vile mimi ni muumini wa "powers from within!, tukio la hii ndege kupotea na mpaka sasa hakuna taarifa yoyote, kunanifanya mimi ndio kwanza nzidi kuchanganyikiwa kabisa!, sio kwa sababu ni ndugu au jamaa ndani ya ndege hiyo!, no!, Ni kwa sababu tuliwaaminia sana watu wa Bara la Asia ndio wengi wenye dini za Hindu na Buddhism wanaojitapa na kutamba na psychic powers za kufanya kila kitu!Apportation - wangeweza kuivuta hiyo ndge popte ilipo na kuona!
Aura reading - Wangeweza kuziona hizo aura za waliokuwa abiria!
Astral projection or mental projection[

Nadhani wewe ndiye mjuzi wa hizo power kuliko yeyote yule humu ndani. sasa ukichanganyikiwa wewe itakuwaje kwa wengine?
 
Kaka umefunika, nadhani JF ilianzishwa kwa malengo kama haya, kwa maana watu watoe mada zenye kumfanya mtu afikiri na kunufaika. Hii ndiyo maana halisi ya The Great thinkers. Big up brother kwa habari zilizoenda shule
 
Wanabodi,

Kwa vile mimi ni muumini wa "powers from within!, tukio la hii ndege kupotea na mpaka sasa hakuna taarifa yoyote, kunanifanya mimi ndio kwanza nzidi kuchanganyikiwa kabisa!, sio kwa sababu ni ndugu au jamaa ndani ya ndege hiyo!, no!, Ni kwa sababu tuliwaaminia sana watu wa Bara la Asia ndio wengi wenye dini za Hindu na Buddhism wanaojitapa na kutamba na psychic powers za kufanya kila kitu!Apportation - wangeweza kuivuta hiyo ndge popte ilipo na kuona!
Aura reading - Wangeweza kuziona hizo aura za waliokuwa abiria!
Astral projection or mental projection[

Nadhani wewe ndiye mjuzi wa hizo power kuliko yeyote yule humu ndani. sasa ukichanganyikiwa wewe itakuwaje kwa wengine?

Hapo sasa!...
Pasco
 
Back
Top Bottom