Recent content by sergent

  1. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mke wa Mchungaji wa KKKT Usharika wa Arusha Mjini afariki dunia

    Sisi walutheri wanaruhusiwa kuoa na kuolewa kwa viongozi wetu wote wa kanisani R.I.P mama mchungaji
  2. S

    JamiiForums Tanzania John Lissu kuhudhuria kwa Gwajima kesho

    Long live jamii forum
  3. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA ni kituko

    tuliza mshono upone kwanza mengine yatafuta!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wangu ni mlevi sana

    hatimae nimepewa suspension leo nimeingia ofisin nusu saa iliyopita nimekutana na barua nimeambiwa nipumzike hadi hapo watakaponiita tena!nina biashara zangu nilikua nimeshaziweka hapa hapa Dar za nyumba za kupangisha maanake nilikua najiandaa kwa baadae nikiacha kazi,ndo kitu nilichobaki...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wangu ni mlevi sana

    Jamani kwema, Mimi ni mwanamke nimeolewa na tuna miaka kumi kwenye ndoa na mume wangu,tuna watoto 4,wakike wawili na kiume wawili. Jamani naombeni msaada wenu mume wangu amekua cha pombe mbaya. Utadhani anazioga na anarudi nyumbani alfajiri yuko tungi hata hanijali tena na watoto, mi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Garry david(maraclara) vs andrew corona(second chance)

    andres corrona (don andres) wa el cuerpo del deseo(second chance)
  7. S

    JamiiForums Tanzania Very touch orbutuary MSG - R.I.P Advocate Nyaga Mawalla

    pole sana Albert! MUNGU akutie nguvu wewe na familia ya marehemu! Naomba matukio katika picha tafadhali asante!
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    thats very true wamekosea coz naangalia hapa matokeo yanavyotokea kwenye citizen tv
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    jamani mbona raila anaongoza kwa sasa ana 69.7% na kenyatta ana 27.5% source: citizen tv
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hugo Chavez, fiery Venezuelan leader, dies at 58

    baada ya kuugua kwa muda mrefu rais Hugo Chavez hatimae afariki dunia!aliugua kwa muda mrefu ugonjwa wa saratani na alifanyiwa operations nyingi nchini Cuba lkn hali yake ilizidi kua mbaya hivi karibuni hadi umauti ulipomfika! R.I.P mr president
  11. S

    JamiiForums Tanzania Historia Fupi na Matibabu ya Askofu Thomas Laizer!!!!

    salaaam wakuu nani anaweza kunijuza zaidi kwa picha yanayojiri arusha kwenye mazishi ya askofu thomas laizer? Ni hayo tu wakuu asanteni
  12. S

    JamiiForums Tanzania greetings! Wana jf

    greetings wana jf, nina furaha kujiunga na hii place,nawomba ukaribisho wenyu tafadhali!asanteni sana! Bravo!bravo!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rip makidara elias mossi

    rest in peace
  14. S

    JamiiForums Tanzania Do not !

    bravo! Bravo! Bravo! Excerlento!
  15. S

    JamiiForums Tanzania salaam wana jf!

    salaam kwenu wote mimi naitwa sergent naomba kukaribishwa jf sababu ndo naanza kuitumia,nashukuruni sana kwa kunifanya nijiunge
Back
Top Bottom