Meljons
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 3,091
- 1,371
Sasa hapa tunaanza migogoro ya ndani sisi kwa sisi. Wote tu wakristo tunamuamini Yesu Kristo,hakuna haja ya kulisifu dhehebu lako kwamba ndilo bora. Tuheshimu imani zetu na za wenzetu pia, anayetaka kufanya uinjilist kuongeza waumini hapa sio mahali pake , na pia ni vyema angeanza thread ya kufanyia uinjilist.