kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 623
Wakuu naomba kuwa juza habari ambayo nimeipokea toka kwenye group langu la whatsaap, kuwa kesho John lisu atakuwa live katika ibada kanisani kwa Askofu Gwajima, alafu wanasa ibada itakuwa live.
USIKOSE KESHO KATIKA IBADA YA JUMAPILI NDANI YA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA LILIPO UBUNGO - KIBO, AMBAPO ASKOFU DR JOSEPHAT GWAJIMA ATAFUNDISHA NENO LA UZIMA PAMOJA NA KUOMBEA WOTE WENYE SHIDA MBALIMBALI, TUTAKUWA PIA NA MWIMBAJI JOHN LISU ATAKAYEIMBA LIVE.
IBADA HIYO PIA ITAKUWA LIVE KUANZIA SAA NNE NA NUSU ASUBUHI KWENYE YOUTUBE. USIKOSE MJULISHE NA MWENZAKO.