TANZIA: Mke wa Mchungaji wa KKKT Usharika wa Arusha Mjini afariki dunia

Qurie

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
3,644
3,879
Alikua haumwi, amefariki ghafla leo asubuhi. Dada Atu Mungu akupumzishe kwa amani.

Natafuta picha yake hapa; soon ntarudi
 
Poleni sanasana Mchungaji, Mungu awape faraja ndugu ,jamaa ,marafiki Na wapendwa waumini,pumzika kwa Amani mama Mchungaji.
 
Pole sana Mchungaji Paul,nilihudhuria ibada moja uliimba na mkeo.
R.I.P mama mchungaji
 
Alikua haumwi, amefariki ghafla leo asubuhi. Dada Atu Mungu akupumzishe kwa amani.

Natafuta picha yake hapa; soon ntarudi
Wewe umeshapata kiroba sasa umeandika mini? Mke wa mchungaji Arusha,mchungaji yupi?
Marehemu anaitwa nani? Ebu maliza hicho kiroba uje na taarifa iliyokamilika chalii angu.
 
Wewe umeshapata kiroba sasa umeandika mini? Mke wa mchungaji Arusha,mchungaji yupi?
Marehemu anaitwa nani? Ebu maliza hicho kiroba uje na taarifa iliyokamilika chalii angu.
Nadhani hujawahi kuguswa na msiba wowote ndo maana una sema ivyo....... Siku akiondoka duniani mtu aliyeugusa moyo wako utaelewa kwanini nmeandka ivyo
 
Poleni wafiwa.

Kwa mwanzisha mada, hakuna kufariki dunia. Kuna kuaga dunia. Ukisema amefariki itakuwa imetosha
 
Back
Top Bottom