Ndo stor ya wiki hii.. Jk huenda akatua Venezuela.
R.I.P
Rais wa Venezuela Bw Hugo Chavez ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 58; na anatarajiwa kuzikwa Ijumaa.
Poleni dunia kwa ujumla, poleni familia, poleni wa-Venezuela wote.
Upumzike kwa amani, Hugo Chavez.
Source: CCTV
Poleni Wavenezuela
Kamaradi amelala
Mola amemtwaa
Pigo kwa wapiganaji
Alikataa ukoloni mamboleo
Poleni familia
Baba mmempoteza
Alikuwa shujaa wa taifa
Mahala pema peponi alale
Mkuu uko sahihi , baadhi ya watu wanamuona Jembe kwa sababu tu alikua adui wa marekani. Hayo ya utawala mbovu na kubadilisha katiba kwa manufaa binafsi kuzuia upinzani , hawataki kuyajua . To them just because you are fighting with USA basi ni wewe ni jembe!
Kwangu mimi Hugo nilimuona kama mugabe.