Recent content by selem

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Hii ni Moja ya matumizi mazuri ya pesa, ushauri huu uheshimike
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    Waliiondoa ama walikusaidia Kwa namna gani mkuu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    Waliiondoa?? Ama walikusaidia Kwa namna gani mkuu
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

    https://www.jamiiforums.com/threads/nasubiri-awe-mume-ndio-nimpe-tunda.2193765/ Ndo huyu Chris ama wa nje. Maana una orodha ndefu sana Kuwa na kumbukumbu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Bila shaka we ni Nsumba boy. Kama ni hivyo basi ulikuwa form 3 maana kipindi hicho hapakuwa na form 2. Tukio la Nsumba lilikuwa 2010 siku ya uchaguzi mkuu
  6. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kitengo cha huduma za dharura mkoa WA Dodoma simu hazipokelewi, inasikitisha sana maana ya Emergency kutokupewa umhimu. Mteja anapiga simu zaidi ya masaa mawili simu inaita tu. Ama hizi namba hazifanyi KAZI ?? 026 232 1728
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimefanya field Ofisi fulani ya Serikali ila wanatupiana mpira kunijazia log book, nifanye nini?

    Log book unasainiwa ama unajaziwa?? Kama ni kukujazia tegemea maumivu, hakuna atakayeacha kaz zake akujazie ila kama ni kusaini ipeleke kwa supervisor
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nililala guest na binti kwa mwezi mmoja na nusu

    Tena ni maji ya moto tu wala siyo chai Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho: Yanga yaanza vibaya kwa kukubali kufungwa 2 -1 dhidi ya Pyramids ndani ya CCM Kirumba

    Kuna nn tena mbn nasikia kelele
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni majina ya nyimbo nzuri RC

    Mi natafuta wimbo sijui jina lake ila baadhi ya maneNo yake ni kama ifuatavyo "Ni kitu gani wewe mwanadamu unataka ufanyiwe na Mungu wako, tabia yako na mwenendo wako, Vitakuweka motoni milele"
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kile kigari kinachopiga kelele usiku wa manane ni cha nani?

    Mkuu huwa unakuwa kwenye hiyo coverage ya ubungo to kibaha kwa muda mmoja? Au hhwa unaamka unachukua usafiri kufuata huo mlio mpaka kibaha? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hii TBS INAWAHUSU

    Tusaidie mkuu Yana expire lini na yametengenezwa lini. Mi naona Man Date january 2019 Expire Date December 2019. Au mi ndo mgumu kuelewa kiingereza Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hii TBS INAWAHUSU

    Kitenzi kikurupushi. Ulichokipost umekielewa kwanza ama unataka tukusaidie kuelewa? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya form 4

    Hapo inabidi uangalia vigezo vya NACTE ila kwa sasa siyo rahisi kwa mtu ambaye hajasoma masomo yote ya sayansi na kuyafaulu walau kwa D kusoma kada za afya tofauti na community health Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom