Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 862
- 3,240
- Thread starter
- #1,221
Kuna hii miti ya kisasa ya kivuli ambayo inakuaga na vitunda vidogo vya rangi nyekundu, Nyoka huwa wanaipenda sana. Nadhani huwa wanafuata hivi vitunda (sina uhakika, lakini nilijaribu kuvionja nikagundua kuwa vina sukari, hata Ndege pia wanavipenda sana)
Hapa ninapoishi kuna hii miti ya kivuli miwili, na ndani ya wiki moja tu nimeua Nyoka watatu, mmoja katika hao ni mrefu anazidi futi 4 kwa hivyo ni vyema sana kuwa makini na hii miti.
Usiruhusu mti ukawa mkubwa mpaka kufikia hatua matawi yakawa yanakaribia ama kugusa kuta za nyumba kwani itakuwa rahisi Nyoka kuingia ndani ya nyumba kupitia dirishani au sehemu yoyote iliyo wazi na mara nyingi hawa Nyoka huwa utawaona kipindi cha baridi au mvua inaponyesha (wanatafuta hifadhi katika majumba baada ya mashimo/miti kuloana na maji)
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane