Nimefanya field Ofisi fulani ya Serikali ila wanatupiana mpira kunijazia log book, nifanye nini?

Pole. Ninashangaa kwanini wakujazie log book. Kwa utaratibu wa vyuo vingine, Log book unajaza mwenyewe ulicho- experience kwenye field practicum, Field supervisor wako anasaini kuthibitisha kuwa ni sahihi.

Pamoja na hayo, Wahenga walisema Penye Udhia Penyeza Rupia
 
Nimefanya field nimemaliza ofisi flani ya serikali chakushangaza wanatupiana mpira kunijazia log book! Hadi saizi sijajaziwa kila mtu ataki kunijazia nifanyeje jamani......
WATAKUWA HAWAJUI KUJAZA, JAZA UWAPE WASAINI
 
Dah... Ni somo hilo na lina maksi.. ukilimwa SUP utatakiwa kurudia field kwa gharama zako
Huwa hawasomi kabisa kule unakoipeleka, wote mtapata A mpaka anayedisko. Hawaangalii muhuri, saini wala kilichoandikwa.

Kuhusu mada yako naunga mkono hoja, jaza na kujisainia mwenyewe tu mambo yaende
 
Next rime mdogo wangu ukienda field cha kwanza tengeneza mahusiano mazuri na hao unao wakuta ofisi ...inaonekana communication haipo vizuri.

Sasa kwa case ya kujaza log book yako embu kamuone mkuu wa idara
Log book anajaziwaje mkuu , si alitakiwa awe anarecord Kazi anazofanya daily Kisha anahamishia kwenye log book anasainiwa,
 
Back
Top Bottom