Felixtz
Member
- Oct 19, 2015
- 57
- 20
Habari wan JF, natumai ni wazima....., nina dogo langu kamaliza Form 4 na matokeo yake ni Civ-C, Bios-C, Chem-C, Maths-D, Eng-C, Hist-C, Geo-C, Kisw-D, Litreture-D, anaeza piga kozi gani chuo ambayo ina market kwa sasa katika secta ya afya. Naombeni ushauri wenu wakuu.