Hii TBS INAWAHUSU

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
998
Hodi Wadau humu ndani.
Nimepita kwa mpika chips mmoja nikakuta anaweka mafuta ya kula kwenye chombo ya kukaangia chips, nikamuuiza kiongoz umeangalia EXPARE DATE akasema hapana, kuja kuangalia nikakuta
Prod Jan 2019
EXP December 2019 .
Hivi hawa TBs huwa hawafuatalii hizi bidhaa jaman...maana mwisho wa siku tutajaa pale Ocean Road hospital.

Ni mtazamo tu Leo sio kuharibu biashara ya mtu..no

Kwenye picha hiyo angalia maandishi madogo meupe
20190131_193605.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hodi Wadau humu ndani.
Nimepita kwa mpika chips mmoja nikakuta anaweka mafuta ya kula kwenye chombo ya kukaangia chips, nikamuuiza kiongoz umeangalia EXPARE DATE akasema hapana, kuja kuangalia nikakuta
Prod Jan 2019
EXP December 2019 .
Hivi hawa TBs huwa hawafuatalii hizi bidhaa jaman...maana mwisho wa siku tutajaa pale Ocean Road hospital.

Ni mtazamo tu Leo sio kuharibu biashara ya mtu..no

Kwenye picha hiyo angalia maandishi madogo meupe View attachment 1009872

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yametengenezwa Jan 2019 na yata expire Dec 2019 hapo kuna tatizo gani ndugu? Ujumbe wako kwetu ni nini hasa? Hebu fafanua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitenzi kikurupushi.
Ulichokipost umekielewa kwanza ama unataka tukusaidie kuelewa?
Hodi Wadau humu ndani.
Nimepita kwa mpika chips mmoja nikakuta anaweka mafuta ya kula kwenye chombo ya kukaangia chips, nikamuuiza kiongoz umeangalia EXPARE DATE akasema hapana, kuja kuangalia nikakuta
Prod Jan 2019
EXP December 2019 .
Hivi hawa TBs huwa hawafuatalii hizi bidhaa jaman...maana mwisho wa siku tutajaa pale Ocean Road hospital.

Ni mtazamo tu Leo sio kuharibu biashara ya mtu..no

Kwenye picha hiyo angalia maandishi madogo meupe View attachment 1009872

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
December 2019 haijafika. Epl ubingwa kachukua City au Liverpool? Tukaweke mzigo meridian bet
 
Hodi Wadau humu ndani.
Nimepita kwa mpika chips mmoja nikakuta anaweka mafuta ya kula kwenye chombo ya kukaangia chips, nikamuuiza kiongoz umeangalia EXPARE DATE akasema hapana, kuja kuangalia nikakuta
Prod Jan 2019
EXP December 2019 .
Hivi hawa TBs huwa hawafuatalii hizi bidhaa jaman...maana mwisho wa siku tutajaa pale Ocean Road hospital.

Ni mtazamo tu Leo sio kuharibu biashara ya mtu..no

Kwenye picha hiyo angalia maandishi madogo meupe View attachment 1009872

Sent using Jamii Forums mobile app
Walimu wako alipata shida sana kukufundisha...!

Sent using Vertu Signature Cobra
 
Back
Top Bottom