Mkuu hiyo rangi kama ndivyo basi LA anaweza kugombea urai 2015 coz king maker anahusika lkn when you read btn the line ccm has finally reached an end!!!!! its obvious that, kama wana busara wakubaliane na Nape kwamba miaka minne aliyoacha RA Igunga isiwe ktk himaya ya ccm watumie nafasi hiyo...
Mkuu ktk rangi, asio hili analile japo chembe ati!!! kwa jinsi yalivyo maisha ya bongo kwa hilo laweza tokea na likawepo kama ikididi basi pandora-pox lifunguliwe!!!!i
TAKE NOTE!!!!
Mkuu, hiyo rangi kwa vijana hasa hawa waliopo sasa huo ndo mwelekeo wao unakumbuka kipindi cha Guninita na Sukwa Saidi Sukwa??? ikaja ya Gunninita vs Uhaula?? Halafu Nchimbi vs Nape???
Ikaja Bashe vs Others ???? Kimsingi, ukichanganua hizo sub-sets utapata set kubwa ktk system ya Mtandao ambao...
Mkuu, hali kama hiyo hutokana na mfumo uliopo na jinsi anayeuongoza alivyo na mtazamo, japokuwa succession plan inapaswa iwepo ktk mtindo wa scouting!!! Mwl Nyerere hakuwa muunmin wa mfumo kama huu lkn aliweza ku-scout kimtazamo who shall be next ktk line up kiuongozi kv Sokoine, Kawawa, Msuya...
Mkuu hiyo rangi inamaabisha sasa wameanza kukomaa na fikra zao zinageuka kuwa pevu!!!!! la vote of no confidence lawezekana!!!!!
VUGUVUGU LA MABADILIKO YA KISIASA NI KAMA MAJI USIPOYANYWA UTAYAOGA, USIPOFULIA UATAPIKIA NK. It is unkwepable!!!!!!
Mkuu,hiyo rangi hapo kama kweli atakuwa mtanzainia wa pili mwenye asili ya asia wa kujivua gamba???? lkn yawezekanaje m-asia amwonee uchungu m-tz (black) ??????? isijekuwa ipo special interest hapo, perhaps anataka kujiuzulu kukwepa ile scandle ya DDC ie. hon masaburi-saga!!!!!
ammo-te...
Mkuu, huu ni mtego wa panya aliyekuwemo na asiyekuwemo................!!! Yaleyaleeeeee ya Adadi Rajabu vs Mahita a.k.a zombe!!!!!!! WOOOTE MANZI GA NYANZA!!!!!!!!!!!!
Mkuu ktk hili ni hekima, kudumisha zaidi fikra pevu yapo mabo mengi sana na ya msingi ambayo JF imeyafanya, inaendelea kuyafanya na itayafanya !!!!! ndo maana inaitwa JF-fikira pevu siyo potofu!!!!!!!
LAWAMA SI MZIGO, JF SI WA KWANZA KULAUMIWA!!!!!!!!!
Mkuu ktk hili sawa lkn je ndani ya utajiri wake hamna mwekezaji asiye mzawa? kama toka oman au sa? isijekuwa amesisima ktk mabega ya watu ili aone mbele! sijui!!!
CHAMBILECHO!!!!!
Maandamano is the only solution, no way back!!! coz mwisho wa siku ni patokee makutano fahamu, KUDAI UHURU NI RAHISI KULIKO KUDAI HAKI????voxy populi voxy dei!!!!!
Mkuu, hapa pana kitu kimetulia sana uhusiano wao ni muhimu maana hata yule Papa Msofe wa knd na .....................papa-mteketaabdul a.k.a mb-klomber...............there are comrade in arms!!!! kv. samakimionzi move????
Mombasa wasema, ASOHILI ANALILE, JAPO CHEMBE!!! uligwa?????
Mkuu, katika hili zimwi likujualo ndio kigezo! Wataalamu wapo nchi hii inayo hazina sana Institution kama benki kuu ingetumika ili kujenga mustakabali endelevu wa maadili watu kama dr bukuku, dr likwelile wamefanya mengi mazuri amabyo ni remerkable, hawa waliotajwa ni corrupt beyond repair...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.