NICK2275
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 3,931
- 918
hilo si jambo la kushangaza-ni jambo la kutegemea maana kama anauza kila kitu,asingekuwa naongoza tulitakiwa tuanze kuhojimkuu kuhusu kodi
tazama rekodi za tra
bakhresa ndio mtanzania individual anaelipa kodi nyingi kuliko wote
na kampuni yake ni ya tatu
baada ya ttc na tbl