Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Aug 2, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Je Kuna uhusiano gani kati ya Lema na MAssawe
  watu wanaomjua lema wanasema ni rafiki wa Massawe
  walifanya pamoja biashara tokea zamani

  Jamani mwenye DATA zaidi atujuze
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ukisikia umbea wa ukubwani ndo kama huu sasa. Unataka ujuzwe ili iweje? Hao watu walokwambia si uende ukawaulize vizuri?
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 13,952
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  Mmoja ni mbunge ,,mwingine sio.
  Let swali jingine.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Why now? EPA, Kagoda mmeshamaliza?

  Hii haraka ya kumuunganisha Lema na uhalifu inatoka wapi? Massawe hata Kikwete mwenyewe kashindwa ku-prove beyond reasoble doubt kwamba ni mhalifu. Sasa mnataka kumuunganisha na Lema. Mlikuwa wapi muda wote huo? Na kwa nini hii haraka inakuja baada ya yeye Lema kuhoji kuachiwa kwa Zombe? Kuna nini hapa? Lema ni mbunge na waziri kivuli so you people should either shut up or put up!
   
 5. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Kama hujui si unyamaze........hii forum wanaruhusu pia kusoma tu thread za wengine.............mmoja Massawe ni Jambazi hivyo kuna uhalali wa kuhoji urafiki wa mbunge na Jambazi unawakutanisha wapi?

  Tatizo humu ndani tunaipenda sana CHADEMA kiasi kwamba akiguswa tu "mtu wetu" basi tunahamaki bila kudodosa hoja kwa utaratibu.
   
 6. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  safi sana kaka Jambazi
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Anayeulza ni police? Hizo data anataka azifanyie nini? Kuna hoja ya kudondosha kwa utaratibu hapa? Hoja zmeletwa kizombe, zombe afu unataka watu wapoteze muda kujadili majungu, mambo ya kujadili mbona yapo mengi sana? Wewe mwenyewe mmbea kama huyo mleta mada.
   
 8. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,277
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ya nini kuwa na uhusiano na Lema,massawe ana uhusiano wa kibiashara na mama Anna mkapa
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  [​IMG][​IMG]
   
 10. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,004
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Kuna uhusiano gani kati ya hawa?

  LAU MASHA NA RAY
  JK NA LOWASSA
  RA NA JK/LOWASSA
  the list goes on n on n on
   
 11. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #11
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 888
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  aiseee ccm imepatikana imeshikwa pabaya mno wala hawawezi kuchomoka kwa hoja hizi za chuki kwasababu tu eti kasema ukweli. ccm tafuteni vijana wenye uelewa wajuu kuwasaidia kujinasua kutoka hapo mlipo.
   
 12. b

  boybsema Senior Member

  #12
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 124
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  umbea huo...nenda kijiweni upate data sio hapa!!!
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  naona kama wanafanana

  Je kuna uhusiano gani katika biashara zao huko nyuma?
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 145
  Pamoja na kwamba hatupendi, lakini si vibaya kama ana uhusiano nae, basi uwe uhusiano wenye umakini ili asije akaingia matatani
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Sasa hebu tuambie lengo lako haswa ni nini? Wewe kama hujatumwa basi utakuwa na matatizo ya akili. Na kama jinsia yako ni 'me' jiangalie vizuri manake unaelekea kubaya!
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Wote ni wachagga NA WANAISHI ARUSHA
   
 17. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wote wazee wa kazi! Aka majambazi! Hata Mahita anawajua hawa!
   
 18. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,056
  Likes Received: 3,416
  Trophy Points: 280
  JeyKey.

  Mkuu wangu Lema na Massawe ni ligi mbili tofauti kabisa.Massawe anacheza ligi daraja la kwanza kamwe hawezi cheza na Lema[siku hizi Massawe anacheza na maharamia ya kisomali].Kama kuna mwanajamvi aliyetoa data za Godbless Lema hakuna wa kunifikia hata kidogo wengi waliniambia namchukia/namwonea wivu na nk.Lema ni nyoka mdogo[tafuta tafsiri Mererani] usiwe mvivu jitahidi kidogo kupitia mabandiko ya Lema utajifunza mengi.Tuhuma za Zombe si zakupuuzwa ingawa kazitoa muda ushapita sana mlizoea kupuza niliyosema leo maumivu yanaanza taratibu na bado mtasikia mengi.Lema alikuwa akicheza ligi ya akina marehemu Babu [Mtoto wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arusha Mzee Kileo],marehemu Joseph [Macho man],Marehemu Ayub Masumai [Pank boy] na Chonjo family [wezi maarufu wa magari siku hizi wamestaafu gari lolote likiibiwa wa kwanza kukamatwa ni Chonjo family] na Imamu Sharifu huyu si mchezo aliwahi kuiba gari la mkuu wa mkoa kaachiwa katoka gerezani majuzi nusu ya ujana wake kautumia jela.Wote niliwataja hawako ligi ya Carlos aka Massawe mzee wa deal za kufa mtu muda mwingine nitarejea nikupatie visa vya Carlos.
   
 19. s

  sativa saligogo Senior Member

  #19
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hapa pana kitu kimetulia sana uhusiano wao ni muhimu maana hata yule Papa Msofe wa knd na .....................papa-mteketaabdul a.k.a mb-klomber...............there are comrade in arms!!!! kv. samakimionzi move????
  Mombasa wasema, ASOHILI ANALILE, JAPO CHEMBE!!! uligwa?????
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  So what????
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...