Kupona inakuwa ngumu sana kwa sababu moyo unakuwa na maji na pia kuna kuwa uvimbe kwenye tezi,kwaiyo unapotumia tetracycline pekee utatibu vidudu tu vya ugonjwa lakn kuna maji kwenye moyo na hayo mauvimbe unakuwa umeyaacha na ndio yanayomuua mnyama.....kinga ni kuwaogesha tu ili kuua kupe coz...
Ugonjwa ni heart water kwa dalili hiyo japo kuna nyingne tofauti japo iyo ni kubwa,
Dawa tafuta antibiotics like tetracycline, ant inflammatory eg dexa na laxer....cha muhimu ni kupambana na kupe kwa sana...kwa maelezo zaidi mtafute mtaalam Wa mifugo kwa ushauri zaidi.
Sent using Jamii Forums...
Magonjwa ya Mara kwa Mara inategemea na sehemu unayofungia na management yako pia.kwa sababu mnyama hazaliwi na magonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nitakuwa sijachelewa, kwanza kuchoka kwake inamaana katumia nguvu nyingi katika kuzaa hivyo ungempa maji ya glucose ya kutosha.
Pili kutoa kondo ungempatia maji yenye chumvi inasaidia. Kwa ndama inatakiwa umpatie maziwa ya kwanza ya mama hata kwa kumkamua mwenyewe. Muhimu zaidi mtafute...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.