Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

Mkuu naona hujazungumzia zile mamlaka za serikali zatakazo kuwa zinasimamia ubora wa bidhaa zako, mfano TFDA, TBS n.k
Nadhani kwenye gharama za kuanzia ilitakiwa na hiyo iwemo, plus kodi za majengo ili tupate gharama halisi ya kuinzia.

Lakini umetoa mwanga mzuri sana kwa wenye nia na hii kitu.
Binafsi nimeipenda sana. Tuwasiliane tuone tunafanhaje, mi mtaji ninao
Baada ya kupata hii elimu ulifanikiwa kuanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe binafisi ushaanza mkuu? ili niweze kupata kibarua hapo kwako?
Nazalisha,
Karibu sana.
IMG-20191229-WA0001.jpeg
IMG-20191228-WA0101.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom