Wapi naweza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe? Bei iwe ya jumla ya shambani

Ismoo

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
1,039
1,460
Habari za mida hii wanajamvi.

Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu ni wapi na weza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe.

Bei iwe ya jumla ya shambani na pia gharama za usafiri zimekaaje? Kwa pande hizo?

Naomba ane fahamu hili asisite kunijulisha. Natanguliza shukrani kwa yeyote atakae ni saidia hili. NB: mzigo nauzia Dar. Kwahiyo trip itakua Mbeya

- Dar au Njombe-Dar.
 
hello, nauza viazi mviringo kutoka Mbeya 0755845733
 
Ongea na mdau huyo hapo juu ukishindwana nae panda basi nenda njombe huko uhakika.
 
Kwa mbeya nenda umalila naamini utakuja kunishukuru, kuna viazi vingi Sana sometime vinashuka bei debe linauzwa 2500
 
Kwa mbeya nenda umalila naamini utakuja kunishukuru, kuna viazi vingi Sana sometime vinashuka bei debe linauzwa 2500
Kwa nini njombe na mbeya na siyo Iringa ?
Njoo MUFINDI kuanzia mwezi wa tatu
 
Kwa mbeya nenda umalila naamini utakuja kunishukuru, kuna viazi vingi Sana sometime vinashuka bei debe linauzwa 2500
Kiazi mwezi wa tatu tayari
IMG_20240117_101524.jpg
 
....upototo na umaliza....nenda huko end Feb ...Njombe pia nenda utakutana wakulima utashindwa wewe tuuu
 
Nnaweza kushauri mtafute mjasiriamali aliyeko njombe kwa namba ya simu.

Wasiliana naye, fanyeni biashara easy.

Kuna link kwenye jarida utawapata wajasiriamali wòoote tanzania, au search tu kwenye site uitafute post
 
Attachments

  • Jarida la wajasiriamali na biashara zao Sahili Marketplace Network (Toleo 1)_compressed.pdf
    1.7 MB · Views: 12
Jamani naomba kuuliza hivi viazi vinaruhusiwa kutoka nje ya nchi? Yaani kama nimepata soko nje ya nchi naweza kupata kibali cha kupeleka?
 
Ndio mkuu inaruhusiwa kabisa, mkuu umegumia wapi hilo soko? Tupeleke wote aisee
 
Jamani naomba kuuliza hivi viazi vinaruhusiwa kutoka nje ya nchi? Yaani kama nimepata soko nje ya nchi naweza kupata kibali cha kupeleka?
Inaruhusiwa tu kama bidhaa zingine,sema inabidi uwe punctual sana maana viazi lile zao delicate sana vikiingia maji tu shughuli yake imeishia hapo na ninavyojua mambo ya mipakani gari kukaa wiki kusubilia vibali.

Lifanyie utafiti wa kutosha ni wazo zuri.
 
Back
Top Bottom