mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
ngoja tuone mkuuIla huenda za LGA zimeisha maana toka waanze kutoa ni wengi wamelamba asali naona zitakua zimeisha bado za MDA ambazo sio nying kama za LGA
Kama unafatilia placement hizi za halmashaur toka waanze kutoa ni zaidi ya 1500+ washapata placement mana kama mkeka wa tarehe 14/4 18/4 21/4 zipo 2 na 28/4 sio chini ya watu 300 mkeka 1 bado zile pdf za tareh 14/3 zipo 2 na tarehe 16/3 na 17/3 na zingine zilikua halmashaur Tu