AZAM MILK, artificial au maziwa halisi?

AZAM MILK, artificial au maziwa halisi?

......hiyo juice ya maembe ni chemicals tupu, hayo maziwa nayo chemicals. Maziwa ya ukweli ni asas na tanga fresh. Au nunua moja kwa moja kutoka kwa mfugaji wa cows.
mkuu hata tanga nawasiwasi nayo. kuna kitu mfano wa paracetamol mdomoni
 
ASAS kule Nduli Iringa anao ng'ombe kibao anafuga, na anakamua maziwa na kutengeneza products nyingi. Azam maziwa yake ni kweli anayatengeneza artificial kama wanavyosema watu mtaani? ng'ombe wake anafugia wapi, anakamua wapi hayo maziwa jamani?

NB: Lengo sio kumharibia biashara, nafikiri kama yuko humu ni nafasi yake kujisafisha ili kuondoa doubt kwasababu kusema kweli binafsi huwa napenda products zake, sasa nilipoambiwa na wenzangu kuwa maziwa ya Azam ni artificial nilisita kuendelea kuyanunua.

Najua kwa mfano juisi za maembe, anatumia maembe halisi, nanasi halisi na matunda mengine halisi (pamoja na kwamba mapera sijajua anachuma kwenye shamba gani?), ila maembe ni halisi.

Kwa wale wenye ufahamu, tuambieni azam maziwa yake anakamua wapi, au anaagiza uarabuni ya ngamia kama wanavyosema huku mitaani?
Yanatokana na maziwa ya unga sio fresh milk. Lakini ni matamu balaa.
 
Kuna na hizi nazi nina wasiwasi Nazi sana!
Ni sumu hizo, nilimpiga marufuku wife kunipikia na hizo Nazi , nilimsusia chakula siku moja ,hajarudia tena , soma Ingredients zake , hata Juisi zake ni sumu , Mo energy ilimtoa mimba wife, alikuwa anakunywa kisirisiri huku ana mimba , ikaporomoka

Hizo bidhaa na uhakika 100% hata familia zao hawazitumii
 
Kwahiyo ulikuwa unamnunulia mkeo Energy Drink ???

Hi nchi Ni ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oil com anao ng'ombe wengi sanaa.ila hawatoshelezi kiwango kinachohitajika. Kiwanda cha dar fresh kipo karibu sana na dar zoo. Kwahiyo maziwa yote ya dar zoo wanauza kwa dar milk ukizingatia dar zoo wanao ng'ombe wengi sanaa. Pia haijatosha, mtuu ýyt mwenye maziwa kiwango chochote anakaribishwa dar fresh wananunua kwa 1500 per liter. Hawa dar fresh wamepandisha sanaa soko la maziwa kigamboni. Ila mm nadhani hawa jamaa wote wenye viwanda vya maziwa wanachakachua sanaaa. Ukiangalia dar fresh wananunua maziwa fresh 1500 per lit. Wakati wao wanauza bei ya kiwandani 800 per 0.5lit. Ina maana wanauza 1600per lit na wao wamenunua 1500per lit. Lazima tuu watakuwa wanachakachua sanaaaa. nawaomba poteza tym yako tafuta maziwa bora katika eneo lako. Ni bora ununue 5lit uweke kwenye frige kuliko kununua maziwa ya packet. Mungu atujaalie afya.
Kwenye maziwa huwa wanatoa na product nyingine kama samli na jibini kwa hiyo kuuza kwa bei hiyo sawa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sumu hizo, nilimpiga marufuku wife kunipikia na hizo Nazi , nilimsusia chakula siku moja ,hajarudia tena , soma Ingredients zake , hata Juisi zake ni sumu , Mo energy ilimtoa mimba wife, alikuwa anakunywa kisirisiri huku ana mimba , ikaporomoka

Hizo bidhaa na uhakika 100% hata familia zao hawazitumii
Hata angekunywa Redbull na mimba yake imgechomoka tu.Kosa ni lake onyo limeandikwa kabisa wajawazito wasinywe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom