Msaada magonjwa ya ng'ombe na njia kukinga

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
2,082
45
Nilikuwa nauliza anayejua aina za dawa za

- Kunywesha na sindano kwa ng'ombe

- Mwenye minyoo
Ambaye unampa kinga ya minyoo
Aina ya minyoo inayoshambulia ng'ombe
Majina ya dawa ikiwezekana na bei zake.
Dozi

Kwa ujumla magonjwa yanayoshambulia ng'ombe mara kwa mara.

Ahsante nawakilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
2,082
45
Ahsante mkuu wakati naanzisha huu uzi nilikuwa sijasoma kitabu flani.
Nimegundua ng'ombe ana magonjwa mengi mno mno mengine hata binadamu anayapata na mengine yanategemea na eneo na utunzaji wako
Magonjwa ya Mara kwa Mara inategemea na sehemu unayofungia na management yako pia.kwa sababu mnyama hazaliwi na magonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom