Recent content by samweli mbise

  1. samweli mbise

    JamiiForums Tanzania Clouds TV mnatia aibu

    Mwanzo mpaka mwisho wanakosea? Wajirekebishe mana pombe sio msamiati ushindwe kuandika
  2. samweli mbise

    JamiiForums Tanzania Clouds TV mnatia aibu

    Walimaanisha pimbi au vipo hawo?
  3. samweli mbise

    JamiiForums Tanzania Je, Muwa ni tunda?

    Mfano wa matunda ambayo hayana mbegu ni vzur ukayataja kwa faida ya weng
  4. samweli mbise

    JamiiForums Tanzania Vodacom internet yenu mbona spidi mmepunguza sana?

    Chukua halotel ww
  5. samweli mbise

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kutoeleweka hospitali

    Wanasemaje et
  6. samweli mbise

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Christina Lissu afariki Dunia jijini Dar

    Ni kweli, R.I.P
  7. samweli mbise

    JamiiForums Tanzania Huduma ya NBC Mobile Banking

    Mm mwenyewe nlisubir siku saba
  8. samweli mbise

    JamiiForums Tanzania Binti Ajinyonga, aacha majina ya watu anaowadai wamlipe

    Mbona hajaning'inia lakin?
  9. samweli mbise

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kutoeleweka hospitali

    Nilishangazwa na kitendo cha mgonjwa kupelekwa hospitali ya serikali ngazi ya wilaya lakini mgonjwa alikosa huduma pale, badala ya kupelekwa ngazi ya mkoa akapelekwa hospitali ya binafsi tena kwa gharama yao wenyewe. Hiyo imekaaje ndugu zangu?
  10. samweli mbise

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

    Kama ndo kampa hiyo smu hapaswi kuangalia mchepuko?
  11. samweli mbise

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isilipe fidia simu feki?

    Serikali ingekataa bidhaa feki kuingia hiyo hasara ingepatikana wap?
  12. samweli mbise

    JamiiForums Tanzania Hili jipu la Arusha litatimbuliwa lini?

    Et ukichelewa kazin unakatwa mshahara wa siku nzima
  13. samweli mbise

    JamiiForums Tanzania Mbio za kobe na sungura nani mshindi?

    Hyo mbona haieleweki?
  14. samweli mbise

    JamiiForums Tanzania Airtel huduma kwa wateja acheni ukiritimba

    Badilisha line mkuu
Back
Top Bottom