songo mwene
Member
- Jan 12, 2014
- 91
- 101
Wako bize kumsifia Ruge wanaacha mambo ya msingi
Kwa kudhibitisha kuwa wewe ni juha pure na huna kazi umepoteza muda wako kuacha comment hapa.Huko sijui ni kukosa kazi au ni ujuha tu hata sielewi.. Kwahyo hyo ndio sababu iliyokufanya uwahi asubuhi yote hii kuja kuandika hapa,?

ZANZIBARHiyo ZBC ni ya wapi mkuu? Au ndiyo mwendelezo wa typing error katika typing era?
Vyuo gani wamesoma, hivi vya kata? ghosh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mhariri wao ni Jerome Risasi mwenye Advance Certificate ya DSJ ya miaka 10 au 12 iliyopita huku akiwa na uzoefu mzuri tu kama News Reporter na Photoghrapher wa Vyombo vya Habari mbalimbali. Ninachojiuliza tu ni sijui ni kwanini aliyekuwa Mhariri Mkuu na Bosi wa Jerome Risasi Mwanadada Joyce Shebe ambaye anamzidi kwa mbali sana Kielimu na Kiuzoefu amekuwa demoted na Management ya Clouds Media Group na nafasi yake kupewa Jerome Risasi Mtoto wa Kawe Kindakindaki.
Mkuu uwe makini unaweza kujikuta umeangukia mahakamani? Naibu spika kamwita mbunge bwege hajafanywa kitu lakini kuna jamaa anakesi ya kutumia neno hilo hilo kwa huyo unayezungumzia kuhusu hiyo herufi.Kwenye hiyo Pimbe hiyo e ingekuwa i ingeleta ukakasi zaidi.
Ngoja mwewe aje aombe radhi..Clouds ichukueni hiyo taarifa ya mleta uzi kama changamoto kwenu katika zama hizi za ushindani,sio nyie tu mnaokosea lakini neno zuri la kiungwana ni kuwaomba radhi wasikilizaji/watazamaji wenu kwa usumbufu walioupata.
Pimbi hahhhahaahKwenye hiyo Pimbe hiyo e ingekuwa i ingeleta ukakasi zaidi.
Jana Clouds TV wakitangaza taarifa ya habari ya saa 2:00 usiku waliandika jina la rais wa JMT walimwandika kama JOHN PIMBE MAGUFULI hili ni kosa dogo la kiuandishi lakini wahariri hii ni aibu kwenu kulikosea jina la Rais kuanzia mwanzo wa taarifa mpaka mwisho jirekebisheni.
![]()
Hahaha ni vipaki kwa kwenda mbeleWahariri si ndo akina Adam Mchovu kuna Mhariri aliyesoma Clouds?