Airtel huduma kwa wateja acheni ukiritimba

wa hapahapa

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
7,455
4,388
huduma kwa wateja airtel wamekuwa hawapokei simu, utakuta simu inaita zaidi ya dakika 14 na kuita zaidi ya mara kadhaa bila kupokelewa.

badilikeni.
 
Ukiwa na tatizo nenda kwa wakala mwambie tatizo lako, yeye atapiga namba 500 au 170. Utatatuliwa shida yako.
 
nilijiunga yatosha ya mwezi tarehe 2 lakini nashangaa leo tarehe 26 wameisitisha,sasa sijui kwao mwezi una siku 25!
 
Hata hawa zantel naona wametuchoka wateja..hivi wanatumia akili gani kukusubirisha kwa dk 15 na wasipokee? Tena kuna majitu hayajitambui customer care..una muuliza swali liko straight ila anashindwa kujibu anajing'ata tu na kujibu irrelevants....
 
Back
Top Bottom