Je, Muwa ni tunda?

Je, Muwa ni tunda?

muwa ni mboga mkuu ushawahi kula majani ya muwa?

Mimi nshawahi kula tena nilichanganya na mapapai mabichi.ni tamu sana.

Kama karanga mbichi na dagaa wakavu ambayo hawajapikwa yaani ni kitafunio kizuri sana ukiishapiga pombe ya komoni au viroba.
 
Mimi nshawahi kula tena nilichanganya na mapapai mabichi.ni tamu sana.

Kama karanga mbichi na dagaa wakavu ambayo hawajapikwa yaani ni kitafunio kizuri sana ukiishapiga pombe ya komoni au viroba.

Uwiiii
 
Muwa sio tunda, upo kwenye kundi la majani...
 
Hahahaha,leo hii post imenichekesha sanaaa,
Maana majibu yake ya ajabua jabu kweli.
Sijui maharage yatakuwa kundi gani kwa baadhi ya tafsiri hapo juu

basi mkuu utauliza na muhindi
 
Mimi nshawahi kula tena nilichanganya na mapapai mabichi.ni tamu sana.

Kama karanga mbichi na dagaa wakavu ambayo hawajapikwa yaani ni kitafunio kizuri sana ukiishapiga pombe ya komoni au viroba.

Dah mkuu umenifurahisha Sana 😃😃
 
Hili swali halina tofauti na lile linalosema sema kuwa " hivi nanihii ni mfupa au ni nyama/"
 
Muwa ni aina ya nyasi ambazo zinaweza kuishi zaidi ya misimu miwili.
 
Mkuu, nikurekebishe kidgo. Fruit kuita fruit si lazima liwe na mbegu za kuendeleza uzaz n specie husika. Kuna baadhi ya matunda hayana mbegu kabisa.
Tuje kwenye topic. Kama ulivyosema huwa tunakula matunda, mziz, majana hata sterm...sasa mua lipo kwenye kundi la shina
Mfano wa matunda ambayo hayana mbegu ni vzur ukayataja kwa faida ya weng
 
Back
Top Bottom