real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,303
Hi, nimekuwa mtumiaji wa huu mtandao kwa muda mrefu sasa, sijabadilisha line, na kilichonifanya nisibadili ni kutokana na huduma zake za uhakika na mtandao ulioenea kote
sasa naona tatizo, japokuwa vifurushi vyenu mmevipunguza bei yaani mnatoa data (mb) nyingi kwa hela ndogo ila kasi ya mtandao imepungua sana,
yaani hata kuanzisha huu uzi hapa jf umenichukua kujaribu jaribu kwa dakika kama 20 hivi
jaribuni kurudisha ile kasi iliyokuwepo zamani, hata kama mmeshusha bei ila msifanye hivyo kwa expense ya ubora
ni afadhali hata ikawa bei juu ila ikawa ya uhakika kuliko huu usumbufu ninaopata sasa hivi
fanyieni kazi plz!!