Huduma ya kutoeleweka hospitali

samweli mbise

Senior Member
May 13, 2015
102
11
Nilishangazwa na kitendo cha mgonjwa kupelekwa hospitali ya serikali ngazi ya wilaya lakini mgonjwa alikosa huduma pale, badala ya kupelekwa ngazi ya mkoa akapelekwa hospitali ya binafsi tena kwa gharama yao wenyewe.

Hiyo imekaaje ndugu zangu?
 
Sio kwamba alipelekwa walipoona kuna huduma bora(hospitali binafsi]? Kwenda hospitali ya mkoa unatakiwa uwe na taarifa maalum kutoka hospitali ya wilaya.
 
Back
Top Bottom