youngashley
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 187
- 52
Moja ya kampuni inayojulikna sana Tanzania na inayoingiza pesa nyingi sana, ila wafayakazi woke hawanufaiki na chochote zaidi ya manyanyaso,
Ato Z text millis kwasasa wanafakitu ambacho hakiwafurahishi wafayakazi wake baada yakutakiwa kuongeza mshahara kwa wafayakazi wake badale yake inapunguza wafayakazi kwa kigezo cha kuwa na wafayakazi wengi sana.
Mi binafsi najua ni mbinu baadae ya tamko kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Arusha kuongeza mishahara mipya kwa wafayakazi wake ndani ya wiki mbile, tamko hilo la mkuu wa mkoa linadababisha watu wengi kupoteza ajira na haki zao.
Kwagu mimi hili ni jipu mweshimiwa Rais litumbue hilii maana kampunii hii inauwezo wa kulipa wafayakazi zaidi ya 900 hata kama kima cha mshahara kitakuwa sh30000.