TANZIA: Christina Lissu afariki Dunia jijini Dar

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,500
3,481
lissu.jpg

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum toka Singida, Christina Mughwai Lissu(CHADEMA) amefariki dunia kwa ugonjwa wa kansa.

Amefia hospitali ya Aghakhan Dar

====
Tundu Lissu said:
Waheshimiwa nawasalimu kutoka Kibondo.

Nina habari zisizokuwa njema. Dada yangu na aliyekuwa Mbunge wetu wa Viti Maalu m Mh. Christina Lissu Mughwai amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Aga Khan Dar.

Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa cancer tangu mwaka jana.

Kwa sasa niko nje ya Dar na ndio kwanza taarifa hizi zimenifikia, sina taarifa zaidi juu ya mipango ya mazishi, etc. Tutawataarifu baada ya familia kuwa tumeshauriana.

Tundu Lissu.
 
Dada wa Mbunge tundu lissu, amefariki dunia ktk hospital ya Aga khan Leo hii! Natoa pole kwa makamanda wote Rip kamanda mwenzetu! Source breaking news from radio!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom