Recent content by Samwelbaruti

  1. S

    JamiiForums Tanzania Leo jioni naleta hapa free app ya kuangalia TV mbalimbali, kaeni tayari

    Nime download free iptv nikifungua inasema nidownload a new app ambapo nikifollow link inanipeleka kwenye error page, 404...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

    Mimi naomba mtu anayefahamu duka la ukweli lililopo hapo Zanzibar anipe namba au account yao ya Instagram niweze kuagiza mzigo Uwe umefika tafadhali nisije kuingia mkenge wa matapeli! Nahitaji TV
  3. S

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    naweza kujaza jina langu tu, kwasababu kuna sehem imeandikwa (jina la mkopaji) si ndivyo??
  4. S

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    naomba kufahamishwa, pale kwenye page 5 section 3.3, ushuhuda wa wakili/hakimu imetiwa sahihi na............................(jina la mkopaji) ambaye ninamfahamu AU ametambulishwa kwangu na...............................ambaye ninamfahamu....... ninatakiwa kujaza hapo? naomba msaada tafadhali
  5. S

    JamiiForums Tanzania Karibu kwenye Duka la hardware and electrical - Mwanza

    Hadi sahivi mnauza !? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

    Marudio saangapi, Jana umeme ulikatika
  7. S

    JamiiForums Tanzania Job seekers + others njooni mkuze vipato

    Naomba kufahamishwa "the mechanism behind" hadi unakua ready kufanya hiyo business
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika watu 8 wa Sales (mauzo)

    Sio kuuza vyombo kweli!?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji wa green tourmaline

    Habari, Mimi ni geologist naweza kukusaidia katika utafutaji, uchimbaji na biashara
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Prezidah....huna link ambayo naeza kupata videolive
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Jaman uku umm umekatika nawezaje kuangalia online ...msaada wadau
  12. S

    JamiiForums Tanzania Media Gani iko Online nisikilize Bunge na Mdahalo wa Leo?

    Jmn uku umeme umekatika nawezaje kuangalia bunge online kwenye kompyuta ....naombeni msaada wadau
  13. S

    JamiiForums Tanzania Angalia video hii

    Ndonin sasa?? Misjaelewa
Back
Top Bottom