Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

Dah wamerudisha umeme saa hizi, nilikuwa nna hamu nimuone ashk majnoon anavyoongea!

Wakuu hamjambo hongereni kwa harakati. Juzi na jana nimesikiliza hotuba na majadiliano yote mjengoni ila leo napumzika - kuendelea itakuwa kama ashki majnuni aliyoisema Mh Chambo!
 
Kumbe....Kwahiyo mtaji wake ni maneno ya kupamba tu?

Hatari sana, chombo cha kuwawakilisha wananchi kinapokuwa na watu aina hii ni hatari sana.


Kumbuka ndani ya ccm kuba wabunge wa aina tatu,
* wabunge wa viti maalum walioingia kwa mbeleko anuai
* wabunge walioingia kwa kura za wananchi,
*wabunge,walioingia bungeni kwa kutumwa na wezi wa cc ya ccm,
Huyo mwalimu,anajiandaa kugombea ubunge jimbo jipya tarajiwa huku Da
r,anachofanya ni kujipendekeza,maana nae ni fisadi mkubwa,
Aulizwe kwa mshahara wa mwi alipataje uwezo wa kujenga sheri ya mafuta?
Hao ndio walimu ambao kupata nafasi hizo

walienda
 
Unatukana kwa sababu ndivyo ulivyolelewa! Huwezi kukulia uswahilini halafu ukose matusi. Matusi ndiyo chai na chakula cha mchana kwenu ila jitahidi kurekebika

Ukijikuta umezaliwa na kukulia uswahilini ni dhambi? Yupi mkosefu aliyeandaa mazingira na kutengeneza 'uswahilini'? au aliyejikuta yupo uswahilini? Tafakari ndugu!
 
Halafu anapigiwa makofi....watanzania wapo ktk wakati mgumu yeye anamuattack mtu.

Wezi wanawapenda sana watu wa aina ya kina Lusinde, kwakuwa hawatafakali kabla ya kusema, wao ni kile alichotumwa na bwana wake na kuwang'ong'a maadui wa mabwana wao basi!
 
lusinde kumshambulia Mbowe na kunfananisha na Mbowe ni kukosa akili na adabu.Siasa za kijinga ndizo zimeifikisha CCM hapa.Tume ya ZItto kuja na taarifa bila kutoa angalizo kuhusu dhana ya ukatoliki au uhaya au chochote ni JARIBIO LENYE NIA OVU.NA hili si bahati mbaya au mara ya kwanza.Ndio maana hawakuenda mbali na kusema Mabenki mengine yaliyo feed MKOMBOZI HELA,na YALIYO CHUKUA HELA KUTOKEA MKOMBOZI.Hawakuweka sana km nani ndani ya Bank alisaidia zoezi ili ..isijejengeke dhana ingine KUWA BANK HIYO INAFANA UDHALIMU.Unless iwekwe wazi kuwa kuna premise zinajengwa ili baadae waje itaka BOT kuimaliza Bank.Zitto na wenzie wanacehza michezo ya kijinga once again.Tume ilitakiwa pia kuangalia na hata kumuhoji Kilaini hela ilifikaje kwake,na km inaweza unganishwa na Kanisa,km inaweza unganishwa na Bank ili report hiyo isiwe uchonganishi wa makundi yasiyohusika ktk ESCROW
 
Kwa report hii ni wazi CCM wanajiandaa kufanya maovu ktk Uchaguzi ujao ,na wanasilence uhasilia wa vitu ili kulinyamazisha kanisa.Kwanini hawakuahinisha alichopokea kilaini,kuhusika kwa kanisa, na mkombozi iliingiaje zaidi ya transactions na Je account za Ruge nyingine hazikufanya kazi.Siamini kuwamba Ruge ana account pekee ktk MKOMBOZI wakati IPTL ilikuwepo kabla ya MKOMBOZI.Siamini kwamba wadau wasio MKombozi hawakupata mgao.KWWANINI ZITTO NA WENGINE HAWAKUJA NA HIZO DATA,AU KWANINI WALIPIGA KIMYA?AU NDIO ILE NIA YA KUCHUKULIA ADVANTAGE KWA CCM KM WAFANYAVYO KTK MISAADA YA WAFADHILI(UFADHILI WATU WA....US,JAPAN) NA KUISHIA SEMA KUWA NI SERIKALI YA CCM NA JK.AU NI KM WAJIFICHAO KTK UKASKAZINI,UKRISTU ILI KUWAPINGA CHADEMA NA BAADAE UKASKAZINI UKISHAKOMAA KICHWANI WAMTOE NAO LOWASA?SI MMOJA AKATE UKIMWA ASEME MKOMBOZI IFUNGWE NA BOT?IN FACT PIA UJE UPEMBUZI KWAMBA HIZO MIL ZA KILAINI KWA AJILI YA MAENDELEO YA BUKOBA NI ZAIDI YA HELA ALIYOSTAHILI RUGE KTK HELA YAKE HALALI.
 
Kwa report hii ni wazi CCM wanajiandaa kufanya maovu ktk Uchaguzi ujao ,na wanasilence uhasilia wa vitu ili kulinyamazisha kanisa.Kwanini hawakuahinisha alichopokea kilaini,kuhusika kwa kanisa, na mkombozi iliingiaje zaidi ya transactions na Je account za Ruge nyingine hazikufanya kazi.Siamini kuwamba Ruge ana account pekee ktk MKOMBOZI wakati IPTL ilikuwepo kabla ya MKOMBOZI.Siamini kwamba wadau wasio MKombozi hawakupata mgao.KWWANINI ZITTO NA WENGINE HAWAKUJA NA HIZO DATA,AU KWANINI WALIPIGA KIMYA?AU NDIO ILE NIA YA KUCHUKULIA ADVANTAGE KWA CCM KM WAFANYAVYO KTK MISAADA YA WAFADHILI(UFADHILI WATU WA....US,JAPAN) NA KUISHIA SEMA KUWA NI SERIKALI YA CCM NA JK.AU NI KM WAJIFICHAO KTK UKASKAZINI,UKRISTU ILI KUWAPINGA CHADEMA NA BAADAE UKASKAZINI UKISHAKOMAA KICHWANI WAMTOE NAO LOWASA?SI MMOJA AKATE UKIMWA ASEME MKOMBOZI IFUNGWE NA BOT?IN FACT PIA UJE UPEMBUZI KWAMBA HIZO MIL ZA KILAINI KWA AJILI YA MAENDELEO YA BUKOBA NI ZAIDI YA HELA ALIYOSTAHILI RUGE KTK HELA YAKE HALALI.

Wamekuvurugaaaaa
 
Hapo tena umechemsha zaidi! Je, wewe ni mbumbumbu wa kuzaliwa au unalipwa ili kujifanya mjinga? Kama ni malipo ya umeme kwa nini zipelekwe benki kuu na sio kulipwa directly kwa IPTL? Escrow ni account inayofunguliwa kwa ajili ya kuweka hela zitakazoweza kutumika endapo kutakuwa na sababu geniune. Fedha hizo zinakuwa contributed na yule anayepewa huduma. Kama mtoa huduma atavunja mkataba hiyo hela inarudishwa kwa mwenyewe. Katika nchi za wenzetu ukiwa na mortgage banki wanakufungulia escrow account automatically. Hivyo malipo yako ya mwezi kiasi kinawekwa kwenye account ya escrow. Bank wanatumia hela ya escrow kulipia kwa mfano insurance ya nyumba yako. Ukiuza nyumba hela zote zinarudishwa kwako. Hivyo hii escrow ya Tanesco exactly inatumia the same principles. Ile hela ni ya tanesco wameweka pale na sio malipo ya umeme. Umeelewa mama? :confused2: Kama hukuelewa basi hutakaa uelewe hivyo sitokujibu tena.

Pesa za escrow siyo malipo ya umeme? ile mitambo ya Wartsila pale Tegeta inafanya nini? RITA ndio walikuwa wanazikusanya hizo fedha miaka yote na kuziwasilisha escrow, zilikuwa za uzazi na vofo zile?

Hebu wacha kuwa finyu. Mlitaka umeme wa bure?
 
Kuna mzungu mmoja lecture wangu aliwai kuniambia kuwa... Alikuwa anashangaa afrika kwa nini aina maendeleo.. akaniambia katika study zake amegundua waafrika Uwa awasikilizani...

Nilipata kujiuliza kwa nini alisema vile ila hapa ndo umenifanya nilireflect back na kujua... Inawezekana kiswaili ndio sijui lakini kujua au kutojua kiswaili aimanishi ndio ufinyu wa akili.... Amna perfect wa lugha ndo maana kuna mgawanyiko wa kazi we ukijua ili mi najua iki.. tukichanganya tunapata kitu kizima..


Ahaaa inafuraisha sana nnchi yangu Tanzania na watu wangu... Mtu na akili yake timamu anaposimama katika jambo muimu kuomba muongozo kisha anasema ohoo katika dini ya kiislamu mtoto nnje ya ndo haramu.... Je ndo Ivi tunavyojifunza katika mambo muimu kuomba muongozo kwa ajiri ya upuuzi...


Ila asante kwa kunielekeza itabidi nijifunze kiswaili kisinitoke kama ndo ivyo

Hebu wacha utani ndugu. Hivi ni kweli wewe umepita sehemu yenye lecturer (sio lecture kama unavyomwita wewe kwani inaonekana hata kiingereza ndio majanga zaidi) kama unavyodai? Sidhani kabisa!
 
Kila mtu ameona umuhimu wa tundu lissu katika sakata hili la escrow ilifikia kipindi spika alimkingia kifua na kuwaambia wabungee wa ccm wanyamaze ili tundu lissu amsaidie kwa kuwa alikua anamuamini kuliko mtu yeyote heshima kwako tundu lissu nawaonea wivu sana wananchi wa jimbo lako kwa kuwa wamepata jembe bunge limekuheshimu baada ya kukudharau sana
 
Kilichofanya Lissu apewe nafasi kubwa siyo tu kwamba alikuwa anamuamin bali hatua ambayo ilikuwa imefikia ni hatua ya kutoa maamuzi ambayo yanahitaji uelewa Wa sheria kwa kiwango kizuri ndio maana ukaona hata wanasheria wengine walipata nafasi nzuri tu za kuwa wanachangia mawazo yao juu ya jinsi ya kuandika mapendekezo.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom