Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

Alafu yule dada aliyeitwa pamoja na mahdevran na validen kwa mtukufu ni nani
 
Mmh me niliangalia nikashindwa kuelewa lugha wanayoongea, subtitle za kiingereza sikuona
Zipo za kingereza yan hii tamthilia nilipokuja gundua ibrahim atakufa, validen atakufa, mustafa atakufa, mehmet atakufa, hurrem naye atakuja mwengine huyu wa machachari hatokuwepo na atakufa kha nikaona niachane nayo ukiifatilia youtube ipo
 
khaa kumbe hurrem hatakuwepo tena,embu niambie niandikaje youtube ili nione
 
khaa kumbe hurrem hatakuwepo tena,embu niambie niandikaje youtube ili nione
Hatokuwepo na ibrahim atauliwa na sultan hapo validen atakuakishakufa, then hadija atajiua kunywasumu mbele ya sultan, andika maginificent century kama sjakosea herufi
 
Back
Top Bottom