Job seekers + others njooni mkuze vipato

ngoja nije pm unachaji sh ngap

Nasema tu sio lazima maisha ni kusaidiana.

Huwa nakuona sana unatafuta tafuta kazi dada angu, pole kwa hilo, nachotaka kusema jifunze forex usisikilize maneno ya watu jitoe tu ujifunze.

kutengeneza USD 40 tu kwa siku ni RAHISI SANA, Nasema kwa kua nafanya mimi, kwa wiki 2 una 800k ya kwako.

huhitaji mamilioni ya mtaji zaidi ya $100-200 tu kuanzia

Maneno yangu sio sheria lakini
 
Myahudi, bado unaendelea na forex.. Maana kiki zake zimezima kama taa hii biashara
Nasema tu sio lazima maisha ni kusaidiana.

Huwa nakuona sana unatafuta tafuta kazi dada angu, pole kwa hilo, nachotaka kusema jifunze forex usisikilize maneno ya watu jitoe tu ujifunze.

kutengeneza USD 40 tu kwa siku ni RAHISI SANA, Nasema kwa kua nafanya mimi, kwa wiki 2 una 800k ya kwako.

huhitaji mamilioni ya mtaji zaidi ya $100-200 tu kuanzia

Maneno yangu sio sheria lakini

Sent using Unknown device
 
Hebu tuwekene sawa, hii sheria mpya ya tcra inataka mtu alipe kodi shngap ili.kumiliki website
 
Uliposema mahala katika bandiko langu kuwa vyuma vimekaza nilidhani mwenzangu ni tajiri sana na una maisha mazuri na kwamba mambo madogo kama haya ya kipesa au Kodi hayakusumbui kumbe na wewe ni mwana vyuma kukaza mwenzagu hadi unaanza kuhoji tcra wanatoza kiasi gani. Nakutakia umiliki mwema wa hiyo website yako tajiri ambaye vyuma havijakaza kwako.
 
Hahaha payback yako imenichekesha sana
 
Hahahaha hahahaha

Im in loove with JF
Uliposema mahala katika bandiko langu kuwa vyuma vimekaza nilidhani mwenzangu ni tajiri sana na una maisha mazuri na kwamba mambo madogo kama haya ya kipesa au Kodi hayakusumbui kumbe na wewe ni mwana vyuma kukaza mwenzagu hadi unaanza kuhoji tcra wanatoza kiasi gani. Nakutakia umiliki mwema wa hiyo website yako tajiri ambaye vyuma havijakaza kwako.

Sent using Unknown device
 
Hebu tuwekene sawa, hii sheria mpya ya tcra inataka mtu alipe kodi shngap ili.kumiliki website
All you need is
IMG_20190326_113915.jpeg
IMG_20190326_113919.jpeg

Sent using Unknown device
 
Back
Top Bottom