Wanahitajika watu 8 wa Sales (mauzo)

Kansila 85

New Member
May 21, 2018
3
0
Habari zenu!, Kunahitajika haraka watu nane wa Sales kwenye maduka (Supermarket) .Elimu ni ngazi ya cheti na stashahada ya sales, marketing, procurement ,finance ,business administration /management .kama uko interested tuma barua ya maombi pamoja na CV kwenye email address. kansilapatrick85@gmail.com.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom