mugishajuma135
Member
- Jul 12, 2018
- 36
- 16
Habari wananchi... Natafuta watu ambao wanahusika na uchimbaji wa green tourmaline ndani ya Tanzania . Lengo hasa ni kufanya biashara na kuchimba pia!
Asanteni
Asanteni
Habari, Mimi ni geologist naweza kukusaidia katika utafutaji, uchimbaji na biasharaHabari wananchi... Natafuta watu ambao wanahusika na uchimbaji wa green tourmaline ndani ya Tanzania . Lengo hasa ni kufanya biashara na kuchimba pia!
Asanteni
Nadhani itakuwa VZR ukiniambia ni wap germ nzur Zina patikana Kati ya Morogoro, Dodoma, Tanga au ArushaHabari, Mimi ni geologist naweza kukusaidia katika utafutaji, uchimbaji na biashara
Nahitaji pia msaada wako, npm namba yako tufanye kaziHabari, Mimi ni geologist naweza kukusaidia katika utafutaji, uchimbaji na biashara