Recent content by Sam4

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

    Muache mtakatifu dinho..muache kama alivyo yule jamaa hasa anapokutana na mpira.. mpira wenyewe hujikuta mahali salama ukiwa kwenye miguu yake. Nahitimisha Muacheni dinho msimfananishe na bianamu yyt kuhusu mpira
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

    Duuuuh we jamaa bana! Umenichekesha ulivyocomment..hata hiyo comment siyo ya sayari hii
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

    Mkuu usimtukuze sana Messi ukamshau mwalimu wake ambae alimuamua kucheza nae kabla hajamuachia ile no 10 anayovaa Messi kwa sasa. Na burudani unayopata kwa Messi ni sehemu ndogo tu ya burudani aliyopewa na mwalimu wake. Nakuwekea na picha umjue mwenye ufundi wake
  4. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Kodi inaendaje mkuu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yupi msanii wako bora wa hip hop Tanzania unayemkubali na kwanini huyo na si wengine??

    "Machizi sikusoma nao tulikutana tu mtaani"-Fid Q sijawahi kuona akiharibu huyu jamaa anaacha kazi anafanya kazi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

    Benz maintenance take ipo juu mkuu. Shocks peke ake ya bei ya chini ni 400-600 laki hii naongelea C class. Ukija Benz kama S class shock take unapata kwa 2.5 mil each. Hii ni moja ya sababu watu wanakimbia hizi gari ila in nzuri sana kwa upande mwingine maana ukifunga spare unasahau. Nakaribisha...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

    Tears of the sun-Bruce Willis daaah hii movie sijawahi kuichoka asee
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wadada punguzeni tamaa

    Chuki humchoma zaid anaeihifadhi mkuu...hadi imetokea ukaachana nae kuna kitu uliepushiwa 2.ukimsaidia hutapunguza chcht zaid utazd kubarikiwa kwa kdg ulichotoa 3.Moyo wako bado umejenga kisasi na chuki ndo maana thou ulitaka ushauri lkn umeegemea kupokea na kuyakubali mawazo hasi 4.Ukitaka...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wadada punguzeni tamaa

    Yes sure! Wengi hii huwakuta na hata mim ilinikuta hiii lakn Mungu hukunyooshea ili yule mtu ajifunze ingawa kwako atakuwa amechelewa ila next time awe makini...then wew msaidie kwa kadri ya uwezo..believ or not kumsaidia kwako kuna muumiza zaid kuliko kumpotezea..at the same time yu'l b doin...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Movie gani imekubamba zaidi 2016?

    Hiii ni nzuri sn
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

    Mkuu kwani unakulaga nyama ya mtu? maana umesema utamtafuna au sijakuelewa vizuri?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Binti Mtanzania aliyelipwa BILIONI 1 Ufaransa kwa kazi ya siku 1

    Models sio uhuni na haihusiani na uhuni..tatz linakuja kwa baadhi ya warembo wenyewe kumis-use hii chance..kama unavyoona sasa hiv baadhi ya video queens wanavyotuamia fursa hiyo kutafuta wanaume pia..hii ndo inakatisha tamaa wazazi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Wahitimu wa diploma wakihitimu bila majoho

    Mkuu hii msg imekaa kiutata sn...anyway hahahaha
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke anayefanya mchezo huu anaweza kuacha?

    Duuuuh we jamaaaa bana
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi wa Filamu za Mapigano (Action Movies)

    Deadly Prey a.k.a Komando kipensi
Back
Top Bottom