Je, mwanamke anayefanya mchezo huu anaweza kuacha?

Je, mwanamke anayefanya mchezo huu anaweza kuacha?

Gari ikiharibika injini inaenda kufanyia maintenance kwenye injini so nyinyi mtu anaumwa huko kulikotajwa mtaweza kupagusa huko.

Na huyo Mungu mbona asiende kumfanyia huo uponyaji nyumbani kwake mpaka aje kutoa sadaka?
MUNGU HANA MIPAKA KTK UFANYAJI KAZI KWANI NDIYE MUUMBA....SADAKA NA UPONYAJI NI VITU TOFAUTI NA HAVINA UHUSIANO....."IMANI NDO KILA KITU"
 
Unataka kuwazushia wakazi wa tanga ionekane ndo tabia yao [emoji125] [emoji125]
Bora umesema, mi sioni sababu ya mtoa maada kutaja anakotokea huyo binti maana hakuna uhusiano wowote na huo mchezo uchafu anaofanya huyo binti
 
Wewe huna lolote una agenda yako tu ya kutukana watu wa Tanga
Mwanamke mwenye tabia hio anajua watu wa dizaini yake hawezi kukufuata wewe. Mosi
Pili hata angekufuata wewe hawezi kukwambia kwa maneno atakufanyia action
Mpangilio wa maneno yako inaonyesha ni maneno ya kutunga kwa ajenda unayoijua mwenyewe l
Lakini pia nina wasi wasi unaweza wewe mwenyewe naumwa ukawa ni shoga smart unatuzingua tu hapa
 
Kwanza umekosa heshima katika akili yako na mdomo wako na pili sijamtukana mtu yoyote, huyu binti kwao ni muheza na kabila lake ni mdigo sasa kama muheza na mdigo anapatikana mbeya au moshi sawa, tatu wakati naleta hii mada niliileta kwa nia ya kupata ushauri ili kumsaidia huyu binti kumtoa katika janga hili analoishi. hakuna nilichokitunga na pia sikulazimishi kuamini maana utakuwa unaishi dunia ambayo unaamini unachokiona na kukisikia wewe tu. Final niliomba mapema kuwa sipendi kashfa wala matusi sasa wewe ambaye umesoma huu uzi halafu umeshindwa kujitambua na kujielewa basi utakuwa una matatizo. Bahati mbaya mimi sio mla tigo ila kama ningekuwa nakula ningekutafuta unipe yako. Heshima ifate mkondo wake, sikujui hunijui
 
Habari za jioni hii?

Natumai mko poa na Mnaendelea na majukumu yenu katika maisha. Nimekuja hapa kuomba ushauri baada ya kupata kigugumizi cha nafsi, akili na moyo. Ni hivi leo jioni hii nimemtongoza msichana mmoja ambaye tumekuwa tukifamiana kwa kipindi kama miezi mitatu sasa ambaye kwa umri ana miaka 21. Msichana huyu anaishi mazingira tata na yana shida zake , binti huyu ni mwenyeji wa tanga.

Huyu binti baada ya kumweleza yangu akakubali hasa ukizingatia alikuwa anaonyesha dalili zote kitambo tu kabla ya mimi kutupa hii ndoano rasmi leo. SASA KIZUNGUZUNGU CHA NAFSI, AKILI NA MOYO KIMEKUJA BAADA YA HUYU BINTI KUNIAMBIA KATIKA MAPENZI YEYE ANAPENDA SANA KULIWA TIGO KULIKO KUFANYA KAWAIDA JAPO KAWAIDA ANAFANYA ILA UTAMU WAKE UPO KWENYE TIGO.

Nimejaribu kumpeleleza kwa maswali na yeye amekuwa mkweli na muwazi japo mwanzo alikuwa anasita kuniambia akidai kuna watu wengine hawapendi kuambiwa ukweli na mchezo huo kauanza tangu akiwa kwao tanga na umemwathiri kisaikolojia na kihisia hasa za mapenzi. Anadai yupo tayari kuwa na mahusiano na mimi ila mtihani wake ndio huo na mimi kiukweli navutiwa nae sana na kutokea kumpenda kabla ya kujua hili jambo

Mimi binafsi sijawahi kufanya hicho kitu katika maisha yangu na wala sifikirii kukifanya kabisa katika maisha yangu.

Sasa najiuliza Mwanamke aliyezoea kufanya mtindo huu anaweza kuacha???? Natamani sana kumsaidia ili atoke katika janga hili ila nimeanza kukata tamaa.
Ushauri unaohitajika hapa ni wa kumsaidia huyu binti kumtoa katika jehanamu hii kama inawezekan na kama kuna njia na taratibu za kumsaidia.

Sihitaji matusi wala kashfa za aina yoyote
Mkuu nishawasaidia wengi sana wenye hilo tatizo ni pm namba zake nikusaidie bhana
 
Kwanza umekosa heshima katika akili yako na mdomo wako na pili sijamtukana mtu yoyote, huyu binti kwao ni muheza na kabila lake ni mdigo sasa kama muheza na mdigo anapatikana mbeya au moshi sawa, tatu wakati naleta hii mada niliileta kwa nia ya kupata ushauri ili kumsaidia huyu binti kumtoa katika janga hili analoishi. hakuna nilichokitunga na pia sikulazimishi kuamini maana utakuwa unaishi dunia ambayo unaamini unachokiona na kukisikia wewe tu. Final niliomba mapema kuwa sipendi kashfa wala matusi sasa wewe ambaye umesoma huu uzi halafu umeshindwa kujitambua na kujielewa basi utakuwa una matatizo. Bahati mbaya mimi sio mla tigo ila kama ningekuwa nakula ningekutafuta unipe yako. Heshima ifate mkondo wake, sikujui hunijui
Yaani wewe umethibitisha haya maneno yako ni yakutunga kwa lengo unalolijua wewe.... Muheza kunakaa wabondei... Hakuna mdigo anaekaa Muheza... Mwongo mkubwa Wee... Kama unataka kuliwa njoo Tanga... Tutakuhudumia... Maana Nimesikia nyinyi watu wa kibara mmechangamkia sana mchezo
 
Back
Top Bottom