Wadada punguzeni tamaa

Wadada punguzeni tamaa

poa mkuu lkn kamaitatokea anashida ya kitu ambacho unauwezo nacho ww mpatie just be a gentleman
Yes sure! Wengi hii huwakuta na hata mim ilinikuta hiii lakn Mungu hukunyooshea ili yule mtu ajifunze ingawa kwako atakuwa amechelewa ila next time awe makini...then wew msaidie kwa kadri ya uwezo..believ or not kumsaidia kwako kuna muumiza zaid kuliko kumpotezea..at the same time yu'l b doin ibada bila kujua kwan kumsaidia yy na mtt wake Mungu atazid kukufungulia..ila never expect kulipwa fadhila just msaidie then Mungu atajua ajulipe nin
 
hiyo ni kukaribisha majipu, haipo hiyo maana wanawake wako wengi alichonacho nitakipata popote, yeye ameshagegedana vya kutosha leo hii baada ya kukosa soko ndio anajileta kwangu.. Mm sio fungu la kukosa au muokota mizoga
Chuki humchoma zaid anaeihifadhi mkuu...hadi imetokea ukaachana nae kuna kitu uliepushiwa
2.ukimsaidia hutapunguza chcht zaid utazd kubarikiwa kwa kdg ulichotoa
3.Moyo wako bado umejenga kisasi na chuki ndo maana thou ulitaka ushauri lkn umeegemea kupokea na kuyakubali mawazo hasi
4.Ukitaka uishi kwa amani na huyo demu kwanza msamehe (simaanishi mrudiane) then utajikuta una aman ya kutosha moyon ila kinyume chake utakuta unamuombea mabaya na hata yasipomkuta unazid kuumia kwa kuona ni mkosefu ambae hastahili amani by any means..hata mim nmepitia huku mkuu..by the way huu ni ushauri I don't command yu to do this mkuu
 
Hili ni Jukwaa LA wanawake maana kila mada ni wanawake had nimechoka punguzeni na visa vya kitoto
 
Kuna binti mmoja nilikuwa na mahusiano naye, nilimpenda kwa dhati lakn baadaye akakata mawasiliano ghafla, nikakaa kimyaaa pia baada ya mwaka na miezi kadhaa nikamtafuta akaniambia ye ni mzazi analea. Nikawa mpole nikatulia.

Ikapita miezi kumi akanitafuta akiwa mpolee mno na mnyonge. Analalamika kuwa katendwa kaumizwa. Huku tayari ni single mother. Sijui anategemea huruma gani toka kwangu.

Kusema kweli huyu nilimpenda kwa dhati na nilikuwa na malengo naye tatzo ni kuwa wakati ule hali ya kiuchumi haikuwa vizuri kwangu (Nadhani hili ndilo lililomkimbiza). Sasa anakuja na nidhamu za kuigiza akidhani nitamwonea Huruma.

Jamani wanawake punguzeni tamaa zisizokuwa na sababu. Msipende saana shortcut.
Mkuu acha kabisa siku hz habar za single mother sitaki hata kuzisikia, wanajifanya wana tamaa sana wakishajazwa ndio wanawakumbuka waliowasumbua. Nakuunga mkono 100% piga chini tena asikuletee mazoea kabisa. Yaan single mother weka mbali na mwanaume ambaye bado hajaoa
 
Kuna mpuuzi mwenzie hapa mtaani nilimwadhibu kama mbwa mwizi, nikamdump taratiiibu mpaka rafiki zake wakanisifu na kunikubali sana. Nimeanza kugegeda rafiki yake ili yule mpuuzi hata asifikirie kabisa kurudi. Dawa yao ni hii tu, mpotezee kama humjui then endelea na maisha yako mkuu.
 
ukweli unampenda ila basi ndiyo kashazalishwa hutaki kuwa naye.. ..... mkuu ila tumekusikia
 
Back
Top Bottom