Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
9,032
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
9,032 2,000
Hivi wabongo bado hatujapata fundisho na hizi pyramid schemes?
 
Amalinze

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Messages
6,724
Points
2,000
Amalinze

Amalinze

JF-Expert Member
Joined May 6, 2012
6,724 2,000
kwahiyo biashara yoote kaambulia gari tu?.alafu blandina tu ndio katoka na wengine ambao hawazidi 20%?.
basi probability ya kutoka ni 30% less. Maana blandina kila miaka namsikia na ile jeep yake ?
Atakuwa yupo na mjengo na bizness nyingine,kuna siku nlimuona maeneo ya obay usiku mnene anakatiza na Jeep yake sijui alienda kula bata au ndio ananyuti kule maana ilikuwa ijumaa ya mwezi wa tisa mwishoni.
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,886
Points
2,000
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,886 2,000
Wanagaramia hadi misosi ili tu uone bidhaa jinga sana, mie nlipewa ka fanta na vibagia nlivokua na hasira nkakanywa fasta tu gudugudugudu nkaweka chupa pembeni nikaendelea kununa
hhahahahahhhhahahhhahhahhahahahhahahahhhhahahaha uuuuwih!
kote huko sijacheka1
ILA HAPO PA GUDUGUDUGUDU ahahahhahahahhahahahhahahahahahhahahaha
 
Kalamu Yangu

Kalamu Yangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
1,032
Points
2,000
Kalamu Yangu

Kalamu Yangu

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
1,032 2,000
Sipendi maneno yao,sipendi semina zao na historia za kina Trump ila napenda bidhaa zao kama: dawa ya meno, asali na pafyumu....mie mteja wao mzuri ila nawatahadharisha kabisa huwa sipendi kujiunga nao maana sipendi kuwa mwongomwongo na mwenye tamaa sijui safari ya Zanzibar, Afrika kusini mara Mombasa huko nitaenda kwa pesa ya kuuza magimbi na bamia
 
D

dihimba

Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
6
Points
45
D

dihimba

Member
Joined Dec 12, 2016
6 45
na sasa kuna EDMARK,kadada kakali kinoma nakaajua kananisumbua kila siku nionane nako,eti kaniingize kwenye list yake yani haya mabiashara ya kimtandao kibongobongo nahis hayafanyiki kwa weledi mkubwa,ujanja mwingi sana na uongo ndo mana mwisho wa siku mtu analia,nafikiri mtu aelimishwe vya kutosha ili awe huru kujiunga siyo huachiwi pumzi afu wanataka laki7 yako kimasihara tu,na kuna magroup mengi whatsap huko wanajidai wajasiriamali wanawaunga,mnachati siku mbili tatu story zinahamia forever living au rifaro n.k ukiwachana wanakuremove haiishi hata dk.hili pia ni jipu kitumbuliwe haswaaaa
Yaan ulipotajs edmark umegusa patamu awa jamaa walinifanya nikope pesa ya nauli na chakula kutoka mbagala mpaka masaki wakaniambia wanatoa ajila baada ya kuwauliza hawakunijib majibu yanayoeleweka mzee nikajitupa kufata ajila nilicho kikuta aisee kidogo nianzishe timbwil
 
BabaTina

BabaTina

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Messages
422
Points
1,000
BabaTina

BabaTina

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2008
422 1,000
Ahahahhaaaa....Livideo la MB 100 hilooo
 
R

richer preecher

Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
26
Points
45
R

richer preecher

Member
Joined Dec 16, 2016
26 45
Yaan ulipotajs edmark umegusa patamu awa jamaa walinifanya nikope pesa ya nauli na chakula kutoka mbagala mpaka masaki wakaniambia wanatoa ajila baada ya kuwauliza hawakunijib majibu yanayoeleweka mzee nikajitupa kufata ajila nilicho kikuta aisee kidogo nianzishe timbwil
problemee ni kwamb watu wengi wanatk utajir wagafla.Na hao wengi wao "nisimple minds they cant reason logical.Izo bithaa mbona hawauzi kwenye maduka mpaka "wakabe"watu????!!!.These thiefs like az thiefs.
 
R

richer preecher

Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
26
Points
45
R

richer preecher

Member
Joined Dec 16, 2016
26 45
Habari za weekend.....

Wauzaji wa bidhaa za forever living, kwanza hongereni kwa kufanya hiyo biashara inayohitaji kipaji cha hali ya juu kuweza kuongea sana na kumshawishi mteja, ni kipaji kwakweli.

Back to topic, mmekua mnatumia mbinu za uongo na kulazimisha sana mteja ili mtangaze biashara aaagrrrr hii mbinu yenu Inakera sana,inaboa sana

Mfano 1: siku za karibuni nikialikwa mahali, nikaambiwa ni semina nauliza semina ya nini nikaambiwa semina tu nihudhurie napigiwa simu za kusisitiza nikaona isiwe tabu ngoja niende nikaahirisha vitu vya muhimu kwenda semina, kumbe ni kwenda nyumbani kwa mtu kuoneshwa bidhaa za forever, wtf? Kwanini umdanganye mtu? Can you imagine nilikua nafeel vipi wakati naoneshwa hizo bidhaa? Mxyu nilikua nimekasirika sana

Mfano 2: dada mmoja kwenye group la whatsapp alitoa mwaliko, jaman karibuni kwangu sehemu flani kuna shughuli, msosi na bia vipo mtakula mtakunywa mtasaza, tunauliza ni nini ubarikio, engagement au nini mchango vipi anakomaa nyie njooni tu eeeh walaji na wanywaji wakaenda eneo la tukio wamevaa suti kumbe ni kuoneshwa bidhaa za forever, Wiki nzima group kimya hakuna anaeongea kumbe watu wamenuna

Mfano 3: Wauzaji wa online, mtu anasema una mtaji wa laki njoo whatsapp tufanye biashara ukiuliza biashara gani unaambiwa njoo whatsapp, unaenda whatsapp anakutumia video la mb 100 kutangaza forever.

Hii ni mifano michache, hivii hamuoni mnakwaza watu? Hakuna mbinu nyingine za kutangaza bidhaa zenu bila uongo??? Au bila kudanganya hamuuzi? Mnakera sanaaaaa
Ni hayo tu
All a lieyers.And sm a thiefs.Weka mbali na pesa yako.
 
R

richer preecher

Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
26
Points
45
R

richer preecher

Member
Joined Dec 16, 2016
26 45
Kuna mtu online alianza hivo kama una laki mbili, njoo tufanye biashara bla bla faida mara mbili nikauliza akaniambia njoo whatsapp, nikaenda akaniunganisha na mtu mwingine, huyo mtu akatuma video anajieleza Daaah nlichoka
Hayo yote ya nini, kwanini asingekua straight tu kuwa ni biashara yake forever niamue yes or no
Awake?!
 
certified mdokozi

certified mdokozi

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Messages
1,406
Points
2,000
certified mdokozi

certified mdokozi

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2016
1,406 2,000
Kila nafsi itaonja umauti vitab vimeandika ww ukauze Forever living alaf mlokole au sheikh kabisa muumin akili zao sio bure
 

Forum statistics

Threads 1,313,879
Members 504,678
Posts 31,807,107
Top