Yupi msanii wako bora wa hip hop Tanzania unayemkubali na kwanini huyo na si wengine??

Kama Leo naforce budget ya usiku wa kesho before the night force kuifanya siku special usiku UK a pita kwa vita dhid ya usingiz na vita visivyo isha na tishw na jinamiz...nick mbish so wanchii
Kama leo namcall kwa date ya usiku wa kesho/
Before the night falls kuifanya iwe siku special/
Usiku ukapita kwa vita dhidi ya usingizi/
Na vita visivyokwisha natishwa na jinamizi/
Masaa yakasogea nkiwaza jinsi ya kutoka/
Peke yangu ghetto na ongea na suti na pair za mocka/
Nadress nafunga mlango........
 
Habari za weekend wanajamvi.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,unafkiri ni nani unazani ni best hip hop man kwa hapa Tanzania? Na kwanini??
Binafsi my best ever rapper of Tz ni FID Q.sina manen ya kumdescribe huyu jamaa,ila kama kwenye mpira basi ningesema ni fundi haswaaa.
Kifupi anajua sana huyu jamaa.referred to the songs like;
1:propaganda.
2:Sumu.
3:Ielewe mitaa.
4:I am a professional.
5:Bongo hip hop.
6:sihitaji marafiki.
7:Nyota ya mchezo.
8:Mwanza Mwanza.
9:Mama.
10:Chagua moja n.k..
Binafsi nnaenjoy na kupata madini yakutosha nimsikilizapo huyu jamaa.pia ni mtu ambae anaejiheshim na kuwaheshim wengine.
Tupia na wewe msanii wako bora wa hip hop kutoka TZ na umwelezee kwanini yeye.
# sanaa kwaajili ya kuelimisha&kuburudisha.View attachment 487170
Umarioo unaondoa kila kitu na kubaki mtu wa kawaida kabisa!
Hip hop ilikuwa zamani enzi za kina sugu, Weusi Wagumu Asilia, Gangwe Mob, etc!
Siku hizi kuna TAARAP!
 
Fid Q is my best Hip Hop artist.
Ila hivi vichwa vitatu(Nikki Mbishi, Uno na Stereo) ni namba mbili kwangu.
Young Killer ni mashine nyingine ambayo ikimaintain discipline atatengeneza legacy.
 
One the incredible, jamaa anaandika Sana na anajua Kupang flow, pia jamaa ni pruducer afu anajua lugha.
Kivyovyote
My seat
Í wish
40barz
Nk.
Anaimba sana one incredible sema nadhani anaaimba nyimbo ngumu baadhi tu ndotunaelewa kutusua kwa ulimwengu mwingine wa mziki asubr kma kina darasa ila jamaa yupo vizuri
 
"Machizi sikusoma nao tulikutana tu mtaani"-Fid Q
sijawahi kuona akiharibu huyu jamaa anaacha kazi anafanya kazi
 

Attachments

  • fid-q-1.jpg
    fid-q-1.jpg
    21.5 KB · Views: 51
Sharktopas, Zohan, Utingo, Jogoo, Tishio, Turn Boy, Dr. Unju Bin Unuq, Baba Malcom, Nikki Mbishi au ukipenda muite Sam Magoli wa Rap...
Hakuna kama Nikki bongo hii according to mimi ingawa kuna wakongwe kama Salu T na Hashim Dogo mwendawazimu!
 
Yes pia A city MNA muunderate sana Chaba baba wa ukoo
Huyu demu ni nasty nasty
Haijatoshaa . Chaba baba la oldonyo lengai. Haha

Wa ukoo mo plus ni bonge la artist. Kwenye top 5 yangu ya bongo yupo.

Ona ile collabo yake na spack dawg alichofanya kwenye sigid bigidi.

Kipande na wana napo kawaharibia

Yupo vizuri
 
Mimi namkubali sana Stopa the rhymeca katika albums zake Kama.
Shule ya bure .
Style tatu .
Hapa nilipo .

jamaa nimekuwa nikimsikiliza sana nyimbo zake. Napenda anavyoweza kubadili style tofauti kwenye nyimbo moja na style yake yakipekee
 
Huyu demu ni nasty nasty
Haijatoshaa . Chaba baba la oldonyo lengai. Haha

Wa ukoo mo plus ni bonge la artist. Kwenye top 5 yangu ya bongo yupo.

Ona ile collabo yake na spack dawg alichofanya kwenye sigid bigidi.

Kipande na wana napo kawaharibia

Yupo vizuri
Hahaaaaaa mi naikubali sana AMKA feat Ibra da hustle noise makes wamepiga bonge moja LA beat
 
Yupo vizuri karibia kila idara.
Whatsup homy ? How u doin it?
Mambo vipi habari za asubuhi

Hey sexy lady mwenye top ya pink
Wazi umeninoki shori tell me wat u drink

U know wat it is, pesa sio tatizo
Daily nashow biz, peace kwa Xdizo
Picha za x ndizo
Zananipa mizuka mpaka likizo nkikupa
kweli mapenzi mwisho

Unju ni msela, I do smoke some
Japo sina hela kama rostam
Azizi wananita laazizi
Habibi na maza ako na dred ka nazizi

Ugiriki latino dominicano
Nadhani utanielewa tu kwa hii michano

Kuwa fan wa lowasa ni mchongo
Si unajua mambo ya lokasa ya mbongo

Tuendelee ama tusiendelee...
 
Umarioo unaondoa kila kitu na kubaki mtu wa kawaida kabisa!
Hip hop ilikuwa zamani enzi za kina sugu, Weusi Wagumu Asilia, Gangwe Mob, etc!
Siku hizi kuna TAARAP!
Mkuu,
Unauthibitisho na hayo uliyoyaandika kuhusu "Umario"....?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom