Recent content by Sally Salya

  1. Sally Salya

    JamiiForums Tanzania Please Tusaidieni Mimi na Mke wangu tunaumwa fangus kwenye nyeti kwa muda mrefu bila kupata

    Unamaanisha kwamba uzaz wa mpango ndio unaosababisha fangas sehem za sir¡?
  2. Sally Salya

    JamiiForums Tanzania Please Tusaidieni Mimi na Mke wangu tunaumwa fangus kwenye nyeti kwa muda mrefu bila kupata

    Ndugu suluhu ya tatizo lako ulipata?
  3. Sally Salya

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Utamu kunoga aiseee¡
  4. Sally Salya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

    Shaur yao wasipo jirekebisha na kurudi kwenye msingi aliouweke muumba wataishia kutumika kama viti vya kukodishwa kwenye masherehe * sherehe & harusi zikiisha wanarudi stoo kupigwa vumbi . GWALA KWAO PIA !
  5. Sally Salya

    JamiiForums Tanzania Maradhi yanayomsibu binadamu na tiba yake

    shukrani, nitakutafuta
  6. Sally Salya

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

    Ni kwel duniani wawili wawili! hilo sijui nalo ni gonjwa gani maana mimi shingoni mwa uume nawashwa kwa ndan. Kwa hyo ukipata dawa nikumbuke na mimi askar.
  7. Sally Salya

    JamiiForums Tanzania Maradhi yanayomsibu binadamu na tiba yake

    Daah! Sina bahati sijui hatasielewi. Kwani mkuu tiba ya fangasi sehemu za siri unaweza ukanifamisha na wengine wana thubutu kusema kwamba iliyoanzia tumboni, pia nikioga huwa nawashwa mwili wote, na huwa napatikaniwa au natokwa na mate ya makohozi hata kama nikiwa sina kikohozi....mwisho...
  8. Sally Salya

    JamiiForums Tanzania KAZI AU KIBALUA MWANZA

    Duh! Cha kukusaidia mkuu tafadhali ungetaja na kabila maana kwa mwanza siku hizi watu wanapeana kazi kikabila,ndugu,kirafiki, na n.k
  9. Sally Salya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wapole na wakimya tuna shida katika kutongoza ila tunaongoza kwa kuwa na wanawake wasio waongeaji

    Hasaaa! Tabu kwngu inapokujiaga ni pale ninapotokagwa na jasho lain mikonon, na kukaukiwa na mate koon! Acheni jamani kutongoza kaz
  10. Sally Salya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bill Gates: Kosa kubwa la muda wote ni kuacha Android kuongoza.

    Na awe makini, maana kwa google anaweza atamani hata kuwa uzia na Microsoft Window yake
  11. Sally Salya

    JamiiForums Tanzania Kamwe usitamani kuja jiji la Dar es Salaam.!

    Hujakosea! Tena ukute hyu ndyo walee...waga hawakui hata nguo za ndani hawanunui. mtoto wa mama, kula kwa mama, kulala kwa mama,kuishi kwa mama, kuvaa kwa mama, duuh!! Wanakera!
  12. Sally Salya

    JamiiForums Tanzania Kamwe usitamani kuja jiji la Dar es Salaam.!

    Hakuna haja ya kushangaa mawe ili ukitaka utashangaa, kwa ni nani hajui kwamba kuna kitu inaitwa mawe kitakachofuatia apo ni ushamba wako binafs
  13. Sally Salya

    JamiiForums Tanzania Kamwe usitamani kuja jiji la Dar es Salaam.!

    Afadhali aisee ili watu wafikilie kuja mwanza pia badala ya Dsm
  14. Sally Salya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bill Gates: Kosa kubwa la muda wote ni kuacha Android kuongoza.

    Hatuwezi sema sana maana ulimwengu tulionao ni wateknoloji kila kukicha huenda akaibuka mwingne zaidi ya Android
  15. Sally Salya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bill Gates: Kosa kubwa la muda wote ni kuacha Android kuongoza.

    Huenda msamaha wa rais umepita maana imekuwa ni kitambo kidogo
Back
Top Bottom