Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,004
- 9,263
Nunua Vitz
Wachina bhanaa wamefunga wee zile bembea usiku na mchana,alaf walivomaliza wakaanza kutest mitambo wao wenyewe
Hujakosea! Tena ukute hyu ndyo walee...waga hawakui hata nguo za ndani hawanunui. mtoto wa mama, kula kwa mama, kulala kwa mama,kuishi kwa mama, kuvaa kwa mama, duuh!!Ni mtazamo wako tu, Hakuna sehemu nzuri yenye raha Ya kuishi Kama dar, Sema wewe umezoea ukifika dar unaenda kuishi mbagara, kivure, ukonga, na kwingneko kwenye sehemu ovyo ovyo kutokana na uwezo wako Lakini nikuambie kuwa Hakuna mahali Salama pa kuishi Kama dar, Hakuna sehemu yenye ulinzi Kama dar, Hakuna sehemu yenye starehe Kama dar, kila utakachokitafuta dar kipo tena Kwa beii Ya kutupwa mikoani kufuatiliana hadi kero dar ni sehemu nzuri mno ni jiji la mastarehe Ndugu hayo mengne Ya foleni uchafu basi kakae huko Kijijini kwenu kusiko kuwa na foleni uwe unallala saa moja unasindikizwa na milio Ya nyoka na ndege sisi tuachie tule raha
mambo majina yako kama ya huku kwetuMimi mzawa wa hapahapa nitake radhi mkuu.
inaunganishwa na ile zoo iliyopo TegetaTukipata rais toka dsm
Na yeye azindue mbuga yake
Kinondoni national park
[emoji2]Hata wenye ma range rover wasije?
BTW Jiji lina raha zake lazima tuje. Nimefika pale mlimani city nikakuta michezo ya watoto kama yote. Lazima nilete vitoto vyangu vibembee hapo
Habari zenu wadau.
Moja kwa moja twende kwenye mada husika. Nakusihii na kukushauri ewe uliepo huko mikoani usitamani wala kufikiria kuja Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam kwa sasa limekuwa na kero nyingi sana zinazo fanya kuonekana kuwa chungu kwa wananchi.
Kero ziko nyingi ila binafsi ningependa kuzungumzia kero ya usafiri. Usafiri umekuwa ni shida sana katika jiji hili iwe asubuhi, mchana na jioni ndio tabu kweli kweli. Usafiri umekuwa shida sana kiasi kwamba ukienda katika vituo vya daladala kama vile Mbagala, Kariakoo, Banana, mawasiliano nakadhalika wananchi wamekuwa wakigombea usafiri.
Hii ni kero kubwa sana hasa kwa ndugu zetu walemavu, wazee wasiojiweza, wajawazito pamoja na mama wenye watoto wachanga. Kero hii pia imewaathiri kwa kiwango kikubwa wanafunzi, kundi hili limekuwa likichelewa kufika kwa wakati katika maeneo yao kero kubwa ikiwa ni usafiri.
Kwa hiyo kama unakuja Dar es Salaam ujue kuna kadhia ya usafiri.
Ulitakiwa na wewe uoneshe mfano, anza kuhama wewe uende sehemu nyinginePamoja na shida zote hizo bado mnakuja tu.
Kumbe yapo mambo inabidi afuatilie, usafiri, usafi n.kDar ni basi tu,hua nashangaa kumuona mkuu wao wa mkoa anagombana na watu kwa issue zisizo za msingi wkt dar yake ina matatizo mengi,mengi,mengi,mengi,mengi,mengi,mengi sana ikiwepo Usafiri na usafi wa jiji.
Anyway ngoja wanyonge tukae pembeni.